DIANA KIMARO AVAMIA SHISHA ZA WATEJA
![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtqWyS4bROmx1*ZbE3Hp9R3V5bupyGHqZNa3Ct0R8nYVZ0aHV3LXDTcJpJKNi9gadwDPs7eNuxT7C8DBw*C4K5Vw/diana_kimaro_.jpg?width=550)
Diana Kimaro. NI wikiendi nyingine, mapaparaz wetu Musa Mateja ‘Toz’, Denis Mtima ‘Paroko’, Chande Abdallah ‘Mjeda’, Dustan Shekidele ‘Mzee wa mji kasoro Bahari na Mpiga picha Mkuu Richard Bukosi walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio huku wakiwasiliana ‘laivu’ na mkuu wao, Oscar Ndauka ‘Os Anjelus’ aliyekuwa makao makuu ya ofisi za gazeti hili,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65gpfcg6iJTkLWlNELZp3YZkvBSvo7crJZG3*PAIk1hQCxE58aqKSFUe2cM0ZvyrVXXzT0FImmfrcbJ8-o7orUM/diana.jpg)
DIANA KIMARO CHUPUCHUPU KUBAKWA
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
KIMARO: VICOBA suluhisho la umaskini nchini
ALIYEKUWA mbunge wa Jimbo la Vunjo, Aloyce Kimaro, ametoa wito kwa wananchi kujiunga kwenye benki za kijamii vijijini (VICOBA) kama njia ya kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini. Kimaro alitoa...
11 years ago
Habarileo16 Jul
Padri Sixtus Kimaro asakwa na mahakama
JOPO la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, limeshindwa kusikiliza rufaa iliyokatwa na upande wa Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyomwachia huru Padri wa Kanisa Katoliki, Sixtus Kimaro aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumlawiti mtoto wa miaka 17.
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Kimaro: Kura za maoni kaburi la CCM 2015
11 years ago
Habarileo16 Jun
Shisha kilevi hatari
WATUMIAJI wa kilevi cha shisha wako katika hatari kubwa ya kuugua maradhi ikiwemo saratani na kuathirika katika mfumo wa hewa . Wataalamu wa afya wameonya kwamba ulevi huo ambao kwa sasa umeshika kasi na kuteka watu wengi hasa vijana, una hatari kubwa kuliko uvutaji wa sigara.
9 years ago
Habarileo19 Sep
Serikali kuchunguza shisha
KATIBU Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Donan Mmbando ameitaka ofisi ya mkemia mkuu kuchunguza kilevi aina ya shisha.
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Serikali ya Tanzania yaharamisha Shisha
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Ulevi wa Shisha washika kasi
11 years ago
TheCitizen19 Jun
No ban yet on ‘shisha’ smoking, says govt