Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Padri Sixtus Kimaro asakwa na mahakama

 Sixtus KimaroJOPO la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, limeshindwa kusikiliza rufaa iliyokatwa na upande wa Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyomwachia huru Padri wa Kanisa Katoliki, Sixtus Kimaro aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumlawiti mtoto wa miaka 17.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DIANA KIMARO CHUPUCHUPU KUBAKWA

 Diana Kimaro ‘Pacha wa Lulu’ Kisa pombe! Habari ya kushtua inaeleza kwamba, mwigizaji katika tasnia ya filamu Bongo, Diana Kimaro ‘Pacha wa Lulu’ amekiri kunusurika kubakwa na msanii mwenye hadhi na ‘taito’ kubwa katika gemu la sanaa Bongo (hakumtaja), chanzo kikiwa ni ulabu. Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini Dar, wikiendi iliyopita, Diana alifunguka kuwa, tukio hilo lilijiri maeneo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KIMARO: VICOBA suluhisho la umaskini nchini

ALIYEKUWA  mbunge wa Jimbo la Vunjo, Aloyce Kimaro, ametoa wito kwa wananchi kujiunga kwenye benki za kijamii vijijini (VICOBA) kama njia ya kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini. Kimaro alitoa...

 

11 years ago

GPL

DIANA KIMARO AVAMIA SHISHA ZA WATEJA

Diana Kimaro. NI wikiendi nyingine, mapaparaz wetu Musa Mateja ‘Toz’,  Denis Mtima ‘Paroko’, Chande Abdallah ‘Mjeda’, Dustan Shekidele ‘Mzee wa mji kasoro Bahari na Mpiga picha Mkuu Richard Bukosi walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio huku wakiwasiliana ‘laivu’ na mkuu wao, Oscar Ndauka ‘Os Anjelus’ aliyekuwa makao makuu ya ofisi za gazeti hili,...

 

9 years ago

GPL

SIXTUS MAPUNDA, ESTER MATIKU WAIBUKA KIDEDEA UBUNGE

Sixtus Mapunda. Mbiga Mjini: Mgombea Sixtus Mapunda (CCM), ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa ubunge katika Jimbo la Mbinga Mjini akipata kura 28,324. Ester Matiku. Tarime Mjini: Ester Matiku wa Chadema ameshinda ubunge Jimbo la Tarime Mjini akipata kura 20,017, Michael Kembati CCM akipata kura 14,025 na Deogratius wa ACT kura 336. Lindi Mjini: Hassan Suleiman Kaunje (CCM) ametangazwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Manispaa ya Lindi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kimaro: Kura za maoni kaburi la CCM 2015

Aliyewahi kuwa mbunge wa Vunjo, Aloyce Kimaro amesema utaratibu wa kura za maoni ndani ya CCM, unaweza kuwa kaburi la chama hicho tawala katika uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda aharibu mipango ya wapinzani mkoani Iringa

blogger-image-659451675

 Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Sixtus Mapunda akiwapa maneno ya kishujaa wakazi wa mkoa wa Iringa.

blogger-image-1216819573

 Juliana Shonza akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Iringa.

blogger-image--2065107125

Viongozi Chama cha Mapinduzi wakiwa katika meza wakifuatia mkutano unavyoendelea.

Na Fredy Mgunda, Iringa

Katibu mkuu wa UVCCM Taifa afanya ziara ya jimbo la Kilolo kwa lengo la kukijenga chama  na kuangalia maendeleo ya chama hicho hasa ngazi vijana lakini akiwa katika ziara hiyo aliongozana na mwenyeji wake Katibu wa UVCCM mkoa wa...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE WA MBINGA MJINI SIXTUS MAPUNDA 2015-2020

Jimbo la Mbinga mjini lililopo katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, lina jumla ya Kata 19, na ni miongoni mwa majimbo ambayo yamebahatika kupata Wabunge Vijana. Baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2015, Jimbo hilo lilipahatika kumpata Mbunge Kijana anayeelezewa kuwa ni mchapakazi mahiri.

Baada ya mbunge huyo Mh. Sixtus Mapunda kukaribia kuhitimisha miaka yake ya Ubunge katika jimbo hilo, yeye na timu yake wametayarisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM sambamba na...

 

11 years ago

GPL

DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI

Stori:  Mwandishi Wetu
MKONGWE wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ anasakwa na polisi kwa RB namba OB/RB/11650/2014 KUTISHIA KUUA mganga wa jadi Mery Kapalisya ambaye inadaiwa alikuwa akiishi naye kama mkewe. Mkongwe wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya' . Akisimulia mkasa mzima, Mery alisema Dudubaya alitishia kumuua mara baada ya kumfukuza katika nyumba waliyokuwa wakiishi pamoja maeneo ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanukovich asakwa Ukraine

Waranti ya kumtia mbaroni aliyekuwa rais wa Ukraine Viktor Yanukovitch imetolewa na mahakama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani