Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuchunguza shisha

KATIBU Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Donan Mmbando ameitaka ofisi ya mkemia mkuu kuchunguza kilevi aina ya shisha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Tanzania yaharamisha Shisha

Wataalamu wanaamini kuwa uvutaji wa Shisha kwa muda wa saa moja ni sawa na kuvuta sigara miamoja ambayo inasababisha Saratani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuchunguza matumizi ya dola

SERIKALI kwa kushirikiana na Bodi ya Tumbaku inafanya uchunguzi juu ya mfumo wa matumizi ya dola kwa wakulima wa tumbaku, ili kutumia shilingi ya kitanzania kwa manufaa ya wakulima. Kauli...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuchunguza miradi ya Tanzania Buildin Works

Serikali imesema itakagua miradi yote iliyotekelezwa na Kampuni ya Tanzania Building Works Co. LTD na kwamba ikibainika kuwa na upungufu hatua za kisheria zitachukuliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Shisha kilevi hatari

WATUMIAJI wa kilevi cha shisha wako katika hatari kubwa ya kuugua maradhi ikiwemo saratani na kuathirika katika mfumo wa hewa . Wataalamu wa afya wameonya kwamba ulevi huo ambao kwa sasa umeshika kasi na kuteka watu wengi hasa vijana, una hatari kubwa kuliko uvutaji wa sigara.

 

11 years ago

TheCitizen

No ban yet on ‘shisha’ smoking, says govt

The government said yesterday that it had not banned the smoking of shisha, a fruit-scented tobacco often smoked through an ornate water pipe as a social activity.

 

11 years ago

BBCSwahili

NACADA yaharamisha ladha za Shisha

Shirika la kupambana na dawa za kulevya nchini Kenya limeharamisha ladha 19 za Shisha ikisema zinachanganywa na

 

11 years ago

Mwananchi

Ulevi wa Shisha washika kasi

Umeibuka ulevi mpya nchini ambao umethibitika kuwateka vijana hasa wa jiji la Dar es Salaam, huku kukiwa na taarifa za kitaalamu kwamba ulevi huo una athari za kiafya kwa watumiaji.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kikwazo kwa wanawake wanaovuta Shisha

Je ni lazima mwanamke anayekwenda kujiburudisha katika kibanda cha Shisha aambatane na mlinzi? Ndio hoja kuu Saudi Arabia

 

11 years ago

GPL

DIANA KIMARO AVAMIA SHISHA ZA WATEJA

Diana Kimaro. NI wikiendi nyingine, mapaparaz wetu Musa Mateja ‘Toz’,  Denis Mtima ‘Paroko’, Chande Abdallah ‘Mjeda’, Dustan Shekidele ‘Mzee wa mji kasoro Bahari na Mpiga picha Mkuu Richard Bukosi walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio huku wakiwasiliana ‘laivu’ na mkuu wao, Oscar Ndauka ‘Os Anjelus’ aliyekuwa makao makuu ya ofisi za gazeti hili,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani