Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuchunguza matumizi ya dola

SERIKALI kwa kushirikiana na Bodi ya Tumbaku inafanya uchunguzi juu ya mfumo wa matumizi ya dola kwa wakulima wa tumbaku, ili kutumia shilingi ya kitanzania kwa manufaa ya wakulima. Kauli...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Simba yaita vyombo vya dola kuchunguza

Haji-Manara-SimbaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema upo radhi vyombo vya dola vichunguze mkataba wao na mchezaji, Ramadhani Singano ‘Messi’, ili kuweza kubaini ukweli na kutatua utata unaoendelea kwa sasa.
Messi atakuwa mchezaji wa pili Simba mkataba wake kuchunguzwa na vyombo vya dola baada ya ule wa Athuman Idd ‘Chuji’ kudaiwa kufojiwa saini kama lilivyo sakata la Messi, kipindi anataka kuihama klabu hiyo mwaka 2008/2009.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa klabu...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wakerwa matumizi ya dola

Wabunge wameonyesha kukerwa na mtindo unaoshamiri wa matumizi ya Dola ya Marekani nchini, jambo ambalo linasababisha kuporomoka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matumizi ya dola yashamiri Tanzania

Tanzania mtindo wa matumizi ya Dola ya Marekani katika huduma na bidhaa unaendelea kushamiri, jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya dola dharau kwa Tanzania

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita hapa nchini, shilingi ya Tanzania ilianza kupotea thamani yake kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kukithiri kwa matumizi ya fedha za kigeni hususan Dola ya Marekani.

 

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO AFUNGUKA MATUMIZI YA DOLA MILIONI 500 ZA BENKI YA DUNIA

Serikali imesema Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye thamani ya  Dola za Kimarekani milioni 500 ulioidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Dunia hivi karibuni  utatumika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia katika shule za sekondari nchini.

Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati akizungumzia mradi huo ambapo amesema  pamoja na  kujenga miundombinu ya shule mradi huo utatoa mafunzo...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali kuchunguza shisha

KATIBU Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Donan Mmbando ameitaka ofisi ya mkemia mkuu kuchunguza kilevi aina ya shisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuchunguza miradi ya Tanzania Buildin Works

Serikali imesema itakagua miradi yote iliyotekelezwa na Kampuni ya Tanzania Building Works Co. LTD na kwamba ikibainika kuwa na upungufu hatua za kisheria zitachukuliwa.

 

11 years ago

Ykileo

SERIKALI NCHINI UCHINA IMEPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WINDOW 8 KWA KOMPUTA ZOTE ZA SERIKALI.

Nchini uchina kumezuka gumzo baada ya serikali kupiga marufuku matumizi ya Window 8 katika computa zote za serikali nchini humo. Taarifa iliyo chapishwa na “CHINA DAILY” ilibainisha uamuzi huo wa serikali uliowekwa kwenye tovuti ya serikali ya nchini humu ambapo ilisisitiza zoezi hilo hali husu komputa za watu binafsi isipokuwa zile zinazotumiwa na serikali.


Tangazo hilo la serikali linalosemeka “HAPA” limebainisha uamuzi huo wa serikali umekuja baada ya kufungiwa huduma za kiusalama kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yachunguza ufisadi wa dola mil 6

SERIKALI inachunguza ufisadi wa Dola za Marekani milioni sita, ambazo Benki ya Stanbic Tanzania pamoja na Kampuni ya Egma ya nchini, iliongeza katika malipo ya ada ya mkopo, ambao Serikali iliomba kwa Benki ya Standard ya Uingereza mwaka 2013.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani