Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya dola yashamiri Tanzania

Tanzania mtindo wa matumizi ya Dola ya Marekani katika huduma na bidhaa unaendelea kushamiri, jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya dola dharau kwa Tanzania

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita hapa nchini, shilingi ya Tanzania ilianza kupotea thamani yake kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kukithiri kwa matumizi ya fedha za kigeni hususan Dola ya Marekani.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wakerwa matumizi ya dola

Wabunge wameonyesha kukerwa na mtindo unaoshamiri wa matumizi ya Dola ya Marekani nchini, jambo ambalo linasababisha kuporomoka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuchunguza matumizi ya dola

SERIKALI kwa kushirikiana na Bodi ya Tumbaku inafanya uchunguzi juu ya mfumo wa matumizi ya dola kwa wakulima wa tumbaku, ili kutumia shilingi ya kitanzania kwa manufaa ya wakulima. Kauli...

 

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO AFUNGUKA MATUMIZI YA DOLA MILIONI 500 ZA BENKI YA DUNIA

Serikali imesema Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye thamani ya  Dola za Kimarekani milioni 500 ulioidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Dunia hivi karibuni  utatumika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia katika shule za sekondari nchini.

Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati akizungumzia mradi huo ambapo amesema  pamoja na  kujenga miundombinu ya shule mradi huo utatoa mafunzo...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI ndogo ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo imetialiana saini na Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) wenye thamani ya dola laki moja z

  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wajumbe aliokuja nao mgeni wake.   Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) Bi. Chen Huaifan (kushoto) mara baada ya kutia saini mkataba wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Biashara ya Hina yashamiri Zanzibar

Kwa miongo kadhaa Wanawake wa Tanzania waishio Visiwani Zanzibar,wamekuwa wakijiremba mikono na miguu yao kwa hina.

 

11 years ago

Mwananchi

Biashara ya figo yashamiri nchini

>Katika kile kinachoonekana kukithiri kwa hali ngumu ya maisha, baadhi ya Watanzania wameanza biashara ya kuuza figo zao kwa gharama kubwa kwa watu wenye mahitaji ya kiungo hicho muhimu mwilini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabao ya kujifunga yashamiri Brazil

Brazil. Dunia imeshuhudia mabao mengi ya kujifunga katika siku nne za kwanza za fainali za Kombe la Dunia 2014 kuliko yaliyofungwa katika fainali za 2010.

 

10 years ago

Michuzi

NSSF FURSA SEMINA YASHAMIRI SIKU YA IDD EL HAJJ MJINI DODOMA

Ikiwa ni muendelezo wa Semina za Fursa zinazoendelea katika mikoa mbalimbali, licha ya kuwa ni siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj tarehe 05/10/2014, Semina ya Fursa yashamiri mjini Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.


Umati huo ulivutiwa sana na huduma na mafao yatolewayo na NSSF kama vile Matibabu bure kwa mwanachama na wategemezi wake na mikopo kupitia Saccos.


NSSF iliwasihi watu wajiunge na mfuko huu ili waweze jipatia Fursa za kuboresha maisha yao.


Semina ya Fursa Dodoma ilirushwa Live na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani