Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yachunguza ufisadi wa dola mil 6

SERIKALI inachunguza ufisadi wa Dola za Marekani milioni sita, ambazo Benki ya Stanbic Tanzania pamoja na Kampuni ya Egma ya nchini, iliongeza katika malipo ya ada ya mkopo, ambao Serikali iliomba kwa Benki ya Standard ya Uingereza mwaka 2013.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania yachunguza ufisadi mkopo wa Stanbic

Serikali ya Tanzania imesema imeanza uchunguzi wa ufisadi wa Dola milioni 6 uliohusu mkataba wa mkopo kutoka kwa benki ya Stanbic.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti EALA ya dola mil 124

BUNGE la Afrika Mashariki (EALA) jana lilisoma bajeti yake ya dola za Marekani 124,069,625 . Bajeti hiyo imesomwa baada ya vuta nikuvute iliyotokana na harakati za kutaka kumng’oa Spika wa Bunge hilo, Magreth Zziwa.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ufisadi mwingine wa mil 700/- wanukia Nishati’

Zitto Kabwe.KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini kwenda Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zinaonekana kuyeyuka katika mazingira yasiyoeleweka.

 

10 years ago

Mtanzania

AFB wapokea dola mil 20 kupanua uwekezaji

afbNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KAMPUNI ya Huduma za Kifedha ya AFB inayojihusisha na kutoa ushauri na huduma za kifedha kwa wajasiriamali imeingia mkataba wa dola milioni 20 za Marekani na Kampuni ya GEMCORP, inayojihusisha na uwekezaji wenye mtazamo wa masoko.

Akizungumzia mkataba huo jana, Mkurugenzi wa AFB, Karl Westvig, alisema amefarijika kuingia mkataba huo uliokuja wakati muafaka kwao.

“Uwekezaji huu wenye mantiki kutoka kwa GEMCORP utatoa mchango mkubwa katika kuleta maendeleo...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132

MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.

 

9 years ago

Global Publishers

Thamani ya Tanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani mil 1.2

picha mbiliKatibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo (wa kwanza kulia) akiangalia moja ya mashine zinazotumika katika shughuli za uchimbaji madini katika eneo la Mirelani mkoani Manyara wakati alipotembelea eneo hilo mara baada ya kumaliza kikao kikao chake na Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara ambazo zimeamua kufanya kazi kwa pamoja ili kudhibiti utoroshaji wa madini ya Tanzanite.picha mojaChambo akitembelea baadhi ya vitalu vya uchimbaji madini ya...

 

9 years ago

StarTV

Taifa lapata dola za kimarekani mil. 500 kwa mwaka kilimo cha Mbogamboga, Matunda, Maua

Sekta ya kilimo cha mbogamboga matunda na maua nchini kimekuwa na mchango mkubwa katika ukuzaji maendeleo kwa kuliingizia taifa kiasi cha dola za kimarekani milioni mia tano kwa mwaka.

Ukuaji wa sekta hiyo umekuwa ni chachu ya kuvutia wawekezaji katika sekta nyingine za maendeleo hapa nchini.

Katika uzinduzi wa jarida litakalohusika kusambaza habari zihusuzo  kilimo cha mbogamboga, maua na matunda  uzinduzi uliofanyika jijini Arusha kwa kuwakutanisha wadau wa kilimo kutoka ndani na nje ya...

 

10 years ago

Vijimambo

INDIA YAIPA TANZANIA MKOPO WA DOLA MIL. 268 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI KATIKA MIJI YA TABORA, IGUNGA, NZEGA NA SIKONGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa ameshikilia cheti kwa pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kamal, Bw. Gagan Gupta. Bw. Gupta ni mfanyabiashara kutoka India ambaye amewekeza nchini Tanzania alikabidhiwa cheti cha kutambua mchango wake katika kukuza uchumi wa Tanzania. Cheti hicho alikabidhiwa siku ya Alhamisi jijini Delhi.
Na Ally Kondo, Delhi


Serikari za Tanzania na India zimewekeana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya kushirikiana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuchunguza matumizi ya dola

SERIKALI kwa kushirikiana na Bodi ya Tumbaku inafanya uchunguzi juu ya mfumo wa matumizi ya dola kwa wakulima wa tumbaku, ili kutumia shilingi ya kitanzania kwa manufaa ya wakulima. Kauli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani