Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dini yazuia wananchi kwenda hospitali, sekondari

DINI mpya iitwayo Matengenezo inayozuia waumini wake kwenda sekondari na hospitali, imeingia wilayani Kakonko mkoani Kigoma. Inakataza waumini wasiende sekondari na hospitali, kwa madai kuwa Biblia inawakataza kufanya hivyo. Mkuu wa Wilaya hiyo, Peter Toima alibaini hayo juzi katika Kijiji cha Rumashi Kata ya Nyabibuye wilayani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Escrow yazuia Kafulila kwenda fungate

SAKATA la wizi wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokwenda fungate baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

10 years ago

GPL

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAWATEMBELEA WAGONJWA, HOSPITALI YA PALESTINA

Waumini hao wakimjulia hari majeruhi wa ajali ya pikipiki alitelekezwa hospitalini hapo na rafiki zake. Hapa wakimtembelea mgonjwa mwingine.
Waumini hao wakijadiliana kwa muda kabla ya kufanya dua kwa wagonjwa wote. Waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka Msikiti wa An nuru uliopo Sinza, Palestina jijini Dar mapema leo hii wamewatembelea…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajawazito Chalinze watumia trekta kwenda hospitali

WANAWAKE katika Kitongoji cha Makupani, Kijiji cha Saadani chumvi, wanalazimika kusafiri umbali wa kilomita 12  kwa kutumia trekta kufuata huduma ya kujifungua hospitalini. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni za mgombea...

 

5 years ago

Michuzi

DK.MAGUFULI AWASHANGAA VIONGOZI WA DINI WANAOZUIA WAUMINI WAO KWENDA NYUMBA ZA IBADA, AWATAKA KUSIMAMA KATIKA VIAPO VYAO

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amesema kutokana na uwepo wa ugonjwa Covid-19 kuna baadhi ya viongozi wa dini wamemsahau Mungu ambaye wamekuwa wakituhubiria waumini wao kwa siku zote.
Akizungumza leo Mei 3 mwaka 2020, Rais Magufuli amesema kuwa inashangaza unapoona viongozi wa dini wanamsahau Mungu kwasababu tu ya uwepo wa Corona."Licha ya kuapa kwa dini zao, wamemuacha Mungu na kwenda kubaki kujali  ubinadamu.Ndio wamekuwa wakihamasisha kuwaambia wamumini acheni kwenda...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHADEMA yawataka Wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura

IMG_7601

Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa  chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika  hotel ya New Arusha jijini humo.

IMG_7568

Viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wakifanya sala kabla ya kuanza  mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini.

Picture 003

Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari.

 MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo-Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa  chama chao kimejipanga...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI: SERIKALI YACHANGIA KUIUA HOSPITALI YA MAFIA

Hospitali ya Wilaya ya Mafia mkoani Pwani. Na Haruni Sanchawa, aliyekuwa Mafia.
LEO safu hii ya Fukunyuafukunyua ilifanya kazi ya ziada kwa kuvuka bahari hadi katika Kisiwa cha Mafia ambacho kiko mkoani Pwani. Uchunguzi wetu umebaini kuwa huduma ya matibabu kwa wakazi wa Mafia ni tatizo kubwa licha ya ukweli kwamba hospitali hiyo ndiyo tegemezi ndani ya wilaya hiyo. Ili kujua mengi mwandishi wetu alifanya mahojiano na wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani