Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajawazito Chalinze watumia trekta kwenda hospitali

WANAWAKE katika Kitongoji cha Makupani, Kijiji cha Saadani chumvi, wanalazimika kusafiri umbali wa kilomita 12  kwa kutumia trekta kufuata huduma ya kujifungua hospitalini. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni za mgombea...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wajawazito Hondogo watumia vibatari

WANAWAKE wajawazito katika Kijiji cha Hondogo, Wilaya ya Bagamoyo wanaojifungulia katika zahanati ya kijiji hicho, wanalazimika kutumia mwanga wa vibatari na simu kutokana na kukosekana kwa umeme. Mwenyekiti wa kijiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumia tochi kuzalisha wajawazito

WAUGUZI wa Zahanati ya Kivukoni, Kata ya Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, wanalazimika kutumia tochi kushona majeraha na kuzalisha wajawazito wanaofika kupata huduma usiku. Afisa afya zahanati hiyo, Costansia...

 

9 years ago

StarTV

Wagonjwa hospitali ya mkoa Singida watumia mashuka yao

Wagonjwa wanaolazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida wapo hatarini kupata maambukizi ya magonjwa mengine kutokana na kutumia mashuka wanayotoa nyumbani na kujifunika bila kuyafanyia usafi suala ambali ni kinyume na taratibu na kanuni za afya.

Hii ni kutokana na Hospitali hiyo kuwa na mashuka  235 pekee kati ya 2,500 yanayohitajika, kiwango ambacho ni chini ya asilimia 10 ya mahitaji hivyo kuulazimu uongozi kutoa ruksa kwa kila mgonjwa anayelazwa kwenda na shuka lake.

Wagonjwa mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

Ongezeko la wajawazito laelemea hospitali wilaya ya Mpwapwa

ONGEZEKO la wajawazito wanaotumia hospitali ya wilaya ya Mpwapwa kumefanya wodi ya wanaosubiri kujifungua kuwa na msongamano kutokana na udogo wake.

 

9 years ago

Habarileo

Hospitali Mbeya yapunguza vifo vya wajawazito

HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Mbeya imefanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito kutoka sita hadi saba kwa mwezi, katika kipindi cha mwaka 2008 na 2012 na kufikia vifo viwili hadi vinne kati ya mwaka 2012 hadi mwaka jana.

 

5 years ago

Michuzi

VIFO VYA WAJAWAZITO KIPINDI CHA KUJIFUNGUA VYAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TEMEKE



 Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali akina mama wajawazito waliolazwa kwenye wodi ya wazazi ambapo vifo vitokanavyo na uzazi hosputalini hapo vimepungua.Waziri wa Afya, Maendeleo, Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua miundombinu ya hospitali ya rufaa ya mkoa Temeke ,Waziri Ummy amempongeza Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo.Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MRADI WA BARABARA YA NJIA SITA KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA CHALINZE (KM 100) WAIVA

Tayari maandalizi ule mpango wa kujenga barabara ya njia sita (tatu kila upande) Dar es Salaam – Chalinze-Morogoro (km 200) Express Way umeiva ambapo awamu ya kwanza itahusisha barabara ya Dar es Salaam (Biti Titi Jnct) – Chalinze (km 100) Express Way kwa utaratibu wa Public Private. Barabara hiyo mbadala ambayo itakuwa ni ya kulipia itajengwa kwa njia sita (6 lanes). Barabara iliyopo sasa itaendelea kutoa huduma kwa wale ambao hawako tayari kutumia barabara ya kulipia. Habari njema ni...

 

11 years ago

Habarileo

Dini yazuia wananchi kwenda hospitali, sekondari

DINI mpya iitwayo Matengenezo inayozuia waumini wake kwenda sekondari na hospitali, imeingia wilayani Kakonko mkoani Kigoma. Inakataza waumini wasiende sekondari na hospitali, kwa madai kuwa Biblia inawakataza kufanya hivyo. Mkuu wa Wilaya hiyo, Peter Toima alibaini hayo juzi katika Kijiji cha Rumashi Kata ya Nyabibuye wilayani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani