Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ongezeko la wajawazito laelemea hospitali wilaya ya Mpwapwa

ONGEZEKO la wajawazito wanaotumia hospitali ya wilaya ya Mpwapwa kumefanya wodi ya wanaosubiri kujifungua kuwa na msongamano kutokana na udogo wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015. Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali nchini. Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amemhamisha Luteni Edward Ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida kwenda kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa...

 

11 years ago

GPL

TRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GULWE WILAYA YA MPWAPWA

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa.
Sehemu ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo hayakusombwa na maji katika ajali iliyotokea usiku wa...

 

10 years ago

Mwananchi

ONGEZEKO LA VIPIMO MAABARA KATIKA HOSPITALI.

Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Rashid Seif amesema serikali kupitia wizara yake itahakikisha kuwa inaijengea uwezo Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ili iweze kufanya uchunguzu wa vipimo mbalimbali vya Vinasaba (DNA) vya binadamu kwa ufanisi zaidi.

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME

Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA GFF YAKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WILAYA YA MPWAPWA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Jabir Shekimweri akipokea msaada wa Vikinga Uso (Face shields) kutoka kwa Taasisi ya GFF ambayo imefika ofisini kwake kutoa msaada wa vifaa vya kujikinga na Corona. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Jabir Shekimweri akiwa katika kikao cha pamoja na wadau wa maendeleo Taasisi ya GFF ambayo imefika ofisini kwake kukabidhi msaada wao wa vifaa vya kujikinga na Corona.Mkurugenzi wa Taasisi ya GFF, Aisha Msantu akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vya kujikinga na Corona kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Hospitali Mbeya yapunguza vifo vya wajawazito

HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Mbeya imefanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito kutoka sita hadi saba kwa mwezi, katika kipindi cha mwaka 2008 na 2012 na kufikia vifo viwili hadi vinne kati ya mwaka 2012 hadi mwaka jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajawazito Chalinze watumia trekta kwenda hospitali

WANAWAKE katika Kitongoji cha Makupani, Kijiji cha Saadani chumvi, wanalazimika kusafiri umbali wa kilomita 12  kwa kutumia trekta kufuata huduma ya kujifungua hospitalini. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni za mgombea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Dodoma na kuanza ziara wilaya ya Mpwapwa

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Marehemu John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni, Chama cha Mapinduzi kilikuwa na maombolezo ya kitaifa ya siku tatu mpaka mazishi ya kiongozi huyo yalipofanyika jana yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete

Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI DODOMA NA KUANZA ZIARA WILAYA YA MPWAPWA‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi Marehemu John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni, Chama cha Mapinduzi kilikuwa na maombolezo ya kitaifa ya siku tatu mpaka mazishi ya kiongozi huyo yalipofanyika jana yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani