Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ONGEZEKO LA VIPIMO MAABARA KATIKA HOSPITALI.

Dar es Salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Rashid Seif amesema serikali kupitia wizara yake itahakikisha kuwa inaijengea uwezo Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ili iweze kufanya uchunguzu wa vipimo mbalimbali vya Vinasaba (DNA) vya binadamu kwa ufanisi zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

 Mratibu Maabara Korogwe kukamatwa  kwa Jaribio La Kuiba Vipimo Vya Malaria

 

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Hafsa Mtasiwa ameagiza kukamatwa kwa mratibu wa maabara wa halmashauri ya mji huo kwa madai ya kufanya jaribio la wizi wa vipimo vya kupimia ugonjwa wa Malaria MRDT.

Basondole anatuhumiwa kuchukua boksi la vifaa hivyo kutoka halmashauri ya wilaya ya Korogwe vijijini akidai Halmashauri ya Mji wa Korogwe anakofanya kazi kuna upungufu wa vifaa hivyo.

Ofisa wa dawa wa halmashauri ya wilaya ya Korogwe Issa Mkwawa amesema tukili lilo limetokea Novemba 11 na...

 

10 years ago

Habarileo

Ongezeko la wajawazito laelemea hospitali wilaya ya Mpwapwa

ONGEZEKO la wajawazito wanaotumia hospitali ya wilaya ya Mpwapwa kumefanya wodi ya wanaosubiri kujifungua kuwa na msongamano kutokana na udogo wake.

 

10 years ago

Vijimambo

Hospitali ya Aga Khan yatoa vipimo vya bure kwa wabunge Dodoma

Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja vya Bunge na jopo la madaktari kutoka hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Seif Rashid.Mh. Margaret Sitta akichukuliwa damu kwa ajili ya vipimo na mshauri wa afya kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge 200...

 

10 years ago

GPL

HOSPITALI YA AGA KHAN YATOA VIPIMO VYA BURE KWA WABUNGE DODOMA‏

Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja vya Bunge na jopo la madaktari kutoka hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Seif Rashid. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia… ...

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA WILAYA MWANGA YAPEWA WIKI MBILI KUJA NA MKAKATI WA UPATIKANAJI WA VIPIMO MUHIMU VYA AFYA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akikagua kadi ya bima ya afya ngazi ya jamii iliyoboreshwa kutoka kwa mgonjwa aliyefika hospitali ya Wilaya ya Mwanga kupata huduma za afya.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (kushoto) akionyesha alama ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika dawa zote ambazo zinatolewa Serikali kwa Mbunge wa Jimbo la Mwanga Prof. Jummane...

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA

 Na Bakari Madjeshi, Michuzi TVKATIKA kuadhimisha Siku ya Vipimo Duniani, Mkurugenzi wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Stella Kahwa amesema kuwa Wakala huo upo sehemu zote hapa nchini kuhakikisha Vipimo katika Malighafi na bidhaa mbalimbali vinatumika na kuzingatiwa kwa usahihi.
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...

 

11 years ago

Habarileo

Wakala wa Vipimo watahadharisha vipimo bandia

WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka watumiaji wa vipimo batili kuacha kutumia vipimo hivyo kwani vinadimimiza uchumi wa Watanzania na taifa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana alipokagua maabara yenye ubora wa nyota mbili hospitali ya rufaa Mtwara

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maabara yenye ubora wa nyota 2 katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mtwara juzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

IMG_3728

Kinana akiendelea kupata maelezo kuhusu mashine zinazopima magonwa mbalimbali katika hospitali hiyo ya Mtwara.

 Kifaa cha maabara chenye uwezo wa kupima Kifua Kikuu sugu.

 Kinana akiakagua stoo ya kuhifadhia dawa mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Usimamizi mbovu katika vipimo unawagharimu wakulima nchini

Usimamizi mbovu wa kuhakikisha vipimo sahihi  vinavyotumika katika biashara ndiyo unasababisha wakulima kupata hasara baada ya kulanguliwa mazao yao na wafanyabiashara wasio waaminifu kabla ya  baada ya mavuno.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani