Wajawazito Hondogo watumia vibatari
WANAWAKE wajawazito katika Kijiji cha Hondogo, Wilaya ya Bagamoyo wanaojifungulia katika zahanati ya kijiji hicho, wanalazimika kutumia mwanga wa vibatari na simu kutokana na kukosekana kwa umeme. Mwenyekiti wa kijiji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Watumia tochi kuzalisha wajawazito
WAUGUZI wa Zahanati ya Kivukoni, Kata ya Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, wanalazimika kutumia tochi kushona majeraha na kuzalisha wajawazito wanaofika kupata huduma usiku. Afisa afya zahanati hiyo, Costansia...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Wajawazito Chalinze watumia trekta kwenda hospitali
WANAWAKE katika Kitongoji cha Makupani, Kijiji cha Saadani chumvi, wanalazimika kusafiri umbali wa kilomita 12 kwa kutumia trekta kufuata huduma ya kujifungua hospitalini. Wakizungumza katika mkutano wa kampeni za mgombea...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Simbachawene: Siwezi kudharau vibatari
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), ameitaka Serikali itoe tamko juu ya kauli ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene ya kuwataka Watanzania wasioweza kumudu bei...
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Wengi watumia namba zisizosajiliwa
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Watumia vyandarua kupepetea ufuta
WAKULIMA wa ufuta katika Wilaya za Mbozi na Chunya mkoani Mbeya, wanalazimika kutumia vyandarua kupepetea zao hilo kutokana na kukosa vitendea kazi kipindi cha mavuno. Vyandarua hivyo ni vile vilivyotolewa...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Polisi watumia mabomu kutuliza ghasia
JESHI la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia zilizoibuka baina ya wakazi wa eneo la Bahari-Motors, Kijitonyama, wilayani Kinondoni jijini hapa. Ghasia hizo zilitokana na kuchukuliwa kwa magari ambayo yalikuwa yameegeshwa katika gereji iliyopo eneo hilo.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Watumia jina Halima Mdee kutapeli
MBUNGE wa Kawe jijini Dar es Salaam, Halima Mdee (CHADEMA) amewatahadharisha wananchi kuwaepuka watu wanaotumia jina lake katika mitandao ya kijamii wakidai wanatoa mikopo bila riba. Alisema kuwa kadhia hiyo...
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Watumia plastiki badala ya kondomu Uganda
11 years ago
Habarileo08 May
Wanafunzi watumia mitandao kutafuta wapenzi
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu amewasihi wanafunzi wa kike, kuacha kukimbilia ngono na kutumia mitandao ya kijamii, kutafuta wapenzi wapya kama wanataka kutimiza ndoto zao za kimaisha.