Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watumia plastiki badala ya kondomu Uganda

Waganda wanatumia kondomu bandia “buveera- kutokana na mifuko ya plastiki kutokana na uhaba wa Kondomu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Truvada yatumika kuzuia Ukimwi badala ya kondomu

Wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja sasa wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi aina ya Truvada kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa huo badala ya kutumia mipira ya kondomu.

 

11 years ago

Habarileo

Wanawake Rukwa watumia kondomu kama bangili

BAADHI ya wanawake mkoani Rukwa wamebadili matumizi ya kondomu za kike kwa kuzivaa kama urembo wa bangili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Wahudumu wa Afya watumia mifuko ya plastiki kijikinga

Madaktari nchini Uingereza wanalazimika kutumia njia mbadala kujilinda na maambukizi ya virusi vya corona kwa kuvaa mavazi ya mifuko ya plastiki, aproni za plastiki, na miwani ya jua.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kondomu yenye umbo la chupi Uganda

Kondomu hii ina umbo la suruali ya ndani ya wanawake, Inaweza kuvaliwa siku nzima na wanawake sawa na chupi aina ya ''g-string''

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngono badala ya chakula nchini Uganda

Baadhi ya wananchi wa Uganda wametoa maoni tofauti kufuatia kauli ya Waziri anayehusika na maadili nchini humo Dokta Simon Lokodo.

 

10 years ago

GPL

MTOTO HUYU ANAISHI NA UTUMBO WA PLASTIKI

Mtoto mwenye matatizo ya tumbo, Suleiman Abdallah. Makala: Shani Ramadhani WANAMKE mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Veronica Laurent, mkazi wa Magomeni Mwembechai, jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu kwa kutelekezwa na mzazi mwenzie baada ya kujifungua mtoto akiwa na matatizo ya utumbo. CHOO CHATOKEA MDOMONI
Akizungumza na mwandishi wetu Veronica alisema mwanaye Suleiman Abdallah (4), alipozaliwa tu,  choo chake...

 

5 years ago

Michuzi

TANI 31 ZA MIFUKO YA PLASTIKI KUTEKEKEZWA SONGWE


Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Kafulila mapema leo akizindua zoezi la uteketezaji wa mifuko ya plastiki ambapo tani 9 kati ya 31 zimeteketezwa katika kichomea taka kilichopo katika Mgodi wa Dhahabu wa Shanta New Luika uliopo Wilayani Songwe.
Sehemu ya tani 9 kati ya 31 za Mifuko ya plastiki ikiteketezwa katika kichomea taka kilichopo katika Mgodi wa Dhahabu wa Shanta New Luika uliopo Wilayani Songwe.
Maafisa wa Mgodi wa Dhahabu wa Shanta New Luika uliopo Wilayani Songwe wakihakikisha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mifuko ya plastiki inavyotengeza matofali na vigae

Nancy alipata ujuzi mtandaoni

 

10 years ago

BBCSwahili

Anavyojikimu kupitia kwa plastiki Kenya

Lorna Rutto mwanzilishi wa kampuni ya Ecopost inayofanya shughuli ya kubadili taka taka kuwa utajiri barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani