Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO HUYU ANAISHI NA UTUMBO WA PLASTIKI

Mtoto mwenye matatizo ya tumbo, Suleiman Abdallah. Makala: Shani Ramadhani WANAMKE mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Veronica Laurent, mkazi wa Magomeni Mwembechai, jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu kwa kutelekezwa na mzazi mwenzie baada ya kujifungua mtoto akiwa na matatizo ya utumbo. CHOO CHATOKEA MDOMONI
Akizungumza na mwandishi wetu Veronica alisema mwanaye Suleiman Abdallah (4), alipozaliwa tu,  choo chake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASKINI MTOTO HUYU

Boniphace Ngumije na Chande Abdallah MASKINI mtoto huyu!  Unapojaliwa kupata mtoto akiwa mzima asilimia 100 unatakiwa kumshukuru Mungu. Mwajuma Juma (25) mkazi wa Mbagala, Sabasaba Dar es Salaam, ameingia kwenye mtihani mzito tangu ajifungue mwanaye Yathib Rajab mwaka mmoja uliopita, akiwa hana sehemu ya kujisaidia haja kubwa.......Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1eJ1BGw ...

 

11 years ago

GPL

MSAIDIE MTOTO HUYU AWEZE KUTIBIWA

Mtoto Adolotea Njavike (1.4) ambaye kichwa na kiwiliwili vimeungana baada ya kupata ajali ya moto akiwa na mama yake mzazi.…

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MTOTO HUYU KINAUMA!

Stori: Waandishi Wetu INASIKITISHA! Mzee aliyejulikana kwa jina la Oscar, mkazi wa Kiwalani jijini Dar, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kudaiwa kusababisha kifo cha mtoto Suzan Justin mwenye umri wa miezi tisa. Mama Suzan Justin akiuwaga mwili wa mwanaye kwa simanzi kubwa. Kwa mujibu wa mama mzazi wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina la Veriana Peter, kwenye tukio hilo lililotokea hivi karibuni, mwanaye alikuwa...

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE ANAYEDAIWA KUUAWA MA MTOTO WA WAZIRI

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
INASIKITISHA! Mmiliki wa Shule ya Msingi na Awali (International) ya Mount Zion iliyopo Bahari Beach, Dar, Annah Mizighi Mwambili, 47, (pichani) ameuawa na mwili wake kutupwa ndani ya shule yake baada ya kupotea kwa zaidi ya miezi sita huku mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi akidaiwa kuwa mmoja kati ya watuhumiwa wa mauaji...

 

10 years ago

GPL

MASKINI! UGONJWA WA FIGO UNAVYOMTESA MTOTO HUYU!

Stori:   Imelda Mtema
Mtoto Careen Mpombo (4) (pichani), mkazi wa  Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, yuko katika mateso makali kufuatia kusumbuliwa na figo moja ambayo haifanyi kazi. Mtoto Careen anayesumbuliwa na figo moja ambayo haifanyi kazi. Licha ya kuugua figo, mtoto huyo pia ana ugonjwa wa mafindofindo (Tonsillitis) unaomfanya akose raha kutokana kuwa na maumivu makali yanayosababisha ashindwe kula.
...

 

11 years ago

GPL

POLISI WA KIKE ANAYEDAIWA KUIBA MTOTO, HUYU HAPA!

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya SIKU chache baada ya kukamatwa kwa askari wa Jeshi la Polisi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kilwai mwenye namba WP 5367 na picha yake kudaiwa ‘kuminyiwa’ na askari wenzake ili isionekane, hatimaye Ijumaa Wikienda limeinasa. Mwanamama ambaye ni askari wa Jeshi la Polisi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kilwai mwenye namba WP 5367 anayedaiwa kuiba mtoto wa jinsia ya kiume aliyefahamika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto mdogo wa Kitanzania mwenye IQ kubwa huyu hapa

10247290_791221147626346_6602541928733584586_n

Na Andrew Chale wa modewji blog

Huenda umesikia mengi juu ya watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ufahamu hasa wa mambo ama IQ kubwa.

Kwa Tanzania mtoto mwenye IQ kubwa kwa  ni Mtoto Nice Valentino mwenye umri wa miaka 3, (Pichani) ameweza kuonesha uwezo mkubwa wa kukariri mambo.

kwa mujibu wa kituo cha Cloud FM cha Tanzania, kimenukuu maelezo kadhaa ikiwemo ya Baba  wa mtoto huyo, alieleza  kuwa, mtoto huyo alianza kuonesha uwezo tokea akiwa na miezi sita (mtoto mchanga) kwa kufanya vitu...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI ILI KUOKOA UHAI WA MTOTO HUYU


Mtoto  Zabibu Salum Abdalah ---------------Na Steven Augustino wa demasho.com, Tunduru.MZAZI wa mtoto wa miezi sita Zabibu Salum Abdalah ,ambaye kichwa chake kina kuwa kikubwa kila siku tangu azaliwe ameomba msaada wa fedha ili kufanikisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili.
Mama mzazi wa Mtoto Bi. Zainabu Mustafa Rajab,alisema kuwa Binti yake huyo alizaliwa April 24 mwaka huu katika hospitali ya Serikali ya Wilaya ya Tunduru,na kwambatatizo hilo la kuanza kukua kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani