Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAIDIE MTOTO HUYU AWEZE KUTIBIWA

Mtoto Adolotea Njavike (1.4) ambaye kichwa na kiwiliwili vimeungana baada ya kupata ajali ya moto akiwa na mama yake mzazi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto Sophia anaomba msaada ili aweze kupata matibabu

unnamed

Sophia Abdul (14)

 Na Amon Mtega –  Songea

MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye  jicho lake  la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamaria wema.

 Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni...

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO SOPHIA ABDUL ANAOMBA MSAADA WAKO ILI AWEZE KUPATA MATIBABU

 Na Amon Mtega -  Songea
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye  jicho lake  la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamalia wema.
 Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni alisema kuwa mwanae...

 

9 years ago

Dewji Blog

TANGAZO: Milioni 30 zinahitajika kuokoa maisha ya Mtoto Careen kupata msaada wa kutibiwa India

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.

Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.

Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa...

 

10 years ago

GPL

MASKINI MTOTO HUYU

Boniphace Ngumije na Chande Abdallah MASKINI mtoto huyu!  Unapojaliwa kupata mtoto akiwa mzima asilimia 100 unatakiwa kumshukuru Mungu. Mwajuma Juma (25) mkazi wa Mbagala, Sabasaba Dar es Salaam, ameingia kwenye mtihani mzito tangu ajifungue mwanaye Yathib Rajab mwaka mmoja uliopita, akiwa hana sehemu ya kujisaidia haja kubwa.......Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1eJ1BGw ...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MTOTO HUYU KINAUMA!

Stori: Waandishi Wetu INASIKITISHA! Mzee aliyejulikana kwa jina la Oscar, mkazi wa Kiwalani jijini Dar, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kudaiwa kusababisha kifo cha mtoto Suzan Justin mwenye umri wa miezi tisa. Mama Suzan Justin akiuwaga mwili wa mwanaye kwa simanzi kubwa. Kwa mujibu wa mama mzazi wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina la Veriana Peter, kwenye tukio hilo lililotokea hivi karibuni, mwanaye alikuwa...

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...

 

10 years ago

GPL

MTOTO HUYU ANAISHI NA UTUMBO WA PLASTIKI

Mtoto mwenye matatizo ya tumbo, Suleiman Abdallah. Makala: Shani Ramadhani WANAMKE mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Veronica Laurent, mkazi wa Magomeni Mwembechai, jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu kwa kutelekezwa na mzazi mwenzie baada ya kujifungua mtoto akiwa na matatizo ya utumbo. CHOO CHATOKEA MDOMONI
Akizungumza na mwandishi wetu Veronica alisema mwanaye Suleiman Abdallah (4), alipozaliwa tu,  choo chake...

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE ANAYEDAIWA KUUAWA MA MTOTO WA WAZIRI

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
INASIKITISHA! Mmiliki wa Shule ya Msingi na Awali (International) ya Mount Zion iliyopo Bahari Beach, Dar, Annah Mizighi Mwambili, 47, (pichani) ameuawa na mwili wake kutupwa ndani ya shule yake baada ya kupotea kwa zaidi ya miezi sita huku mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi akidaiwa kuwa mmoja kati ya watuhumiwa wa mauaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani