Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watumia vyandarua kupepetea ufuta

WAKULIMA wa ufuta katika Wilaya za Mbozi na Chunya mkoani Mbeya, wanalazimika kutumia vyandarua kupepetea zao hilo kutokana na kukosa vitendea kazi kipindi cha mavuno. Vyandarua hivyo ni vile vilivyotolewa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watumia noti bandia kulipa wakulima wa ufuta

WAFANYABIASHARA wilayani Nachingwea mkoani Lindi wanadaiwa kutumia fedha bandia kununulia zao la ufuta.

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA UFUTA WILAYANI BABATI WAPEWA MASHINE ZA KUKAMUA UFUTA

Ofisa Masoko wa Shirika la Farm Africa,Rahel Pazzia (kushoto) akikabidhi mashine ya kukamua ufuta kwa wana kikundi wa wakulima wa ufuta wa kikundi cha Faraja na Chemchem kwenye Kijiji cha Vilima Vitatu, Wilaya ni Babati Mkoani Manyara jana. Wanakikundi wa Sayuni na Mti wa maziwa, ambao ni wakulima wa zao la ufuta wa Kijiji cha Ngolley Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakiwa na mashine yao ya kukamua ufuta baada ya kukabidhiwa na Ofisa Masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia.

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA UFUTA WAASWA








Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu akikagua ufuta kwenye ghala la Huru Amcos lililopo Kijiji cha Shangani kata ya Michenjele ambapo amewaasa Wakulima wa Ufuta kuzingatia ubora na kuuza ufuta wao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.
…………………………………………………………………………………………..
~ Kuhakikisha wanauza Ufuta ghalani
 ~ Kuzingatia ubora 
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wakulima wa zao la Ufuta wameaswa kuuza Ufuta wao kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani kwa kuzingatia ubora na si vinginevyo. 
Hayo yamejiri...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

TAG kugawa vyandarua 8,550


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
KANISA la Tanzania Assemblies Of God (TAG), linatarajiwa kugawa vyandarua 8,550 vyenye thamani ya sh. milioni 135 katika hospitali 34 na vituo vya afya 83 kwenye mikoa ya Njombe, Mbeya na Rukwa.
Vyandarua hivyo vitaanza kugawiwa katika hospitali na vituo vya afya vyote vya serikali, taasisi za kidini na binafsi.
Askofu Mkuu wa TAG, Dk. Barnabas Mtokambali, aliyasema hayo jana wakati wa uzinduzi wa kugawa vyandarua hivyo katika hospitali ya Rufani Mbeya, ikiwa ni...

 

11 years ago

Habarileo

Pemba watakiwa kutumia vyandarua

WANANCHI wa Pemba wametakiwa kuendelea kutumia vyandarua, kama njia pekee ya kupambana na malaria na kupunguza vifo vya akinamama na watoto.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa ufuta wapanua mashamba

Wakulima wa ufuta kwenye kata tano za Tarafa ya Mbugwe, wilayani Babati, mkoani Manyara, wanatarajia kunufaika na kilimo hicho msimu huu baada ya kulima na kupanda mbegu kwenye ekari 5,625 za mashamba yao.

 

11 years ago

Habarileo

Vyandarua vya hati punguzo vyasitishwa

MPANGO wa hati punguzo ambao wajawazito na watoto wachanga, walikuwa wakigawiwa vyandarua bure, umesitishwa kutokana na kile kilichoelezwa ni udanganyifu, unaodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi.

 

10 years ago

Habarileo

Kanisa latoa msaada wa vyandarua 2,700

MADHEHEBU ya dini nchini yametakiwa kueneza upendo na kujali maisha ya watu bila kujali itikadi na imani zao ili kuleta utengamano wa kitaifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Morogoro wataka elimu matumizi ya vyandarua

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imetakiwa kutoa elimu ya matumizi ya vyandarua kwa wananchi vijijini ili kuyakabili magonjwa yatokanayo na mbu ikiwemo malaria. Hayo yalisemwa na mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani