Vyandarua vya hati punguzo vyasitishwa
MPANGO wa hati punguzo ambao wajawazito na watoto wachanga, walikuwa wakigawiwa vyandarua bure, umesitishwa kutokana na kile kilichoelezwa ni udanganyifu, unaodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K5i_ZFes4bQ/U9Dg7YL5d_I/AAAAAAAF5rQ/Sm-HZE_nq1E/s72-c/DSC_1660.jpg)
Kampeni ya ugawaji wa vyandarua vya hati Punguzo April 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-K5i_ZFes4bQ/U9Dg7YL5d_I/AAAAAAAF5rQ/Sm-HZE_nq1E/s1600/DSC_1660.jpg)
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeandaa kampeni kwa ajili ya ugawaji wa vyandarua vya hati punguzo katika kaya nchini, inayotarajiwa kuanza mwezi Aprili mwaka 2015.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Dkt Kebwe Stephen, amesema kampeni hiyo imeanzishwa ili kuziba pengo kutokana na kusitishwa kwa huduma ya hati punguzo iliyokuwa ikifadhiliwa na Mennonite Economic Development Associates (MEDA)...
9 years ago
Habarileo18 Oct
Vibali vya uwindaji vyasitishwa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezuia utoaji wa vibali vya uwindaji wanyama pori kwa miaka miwili. Sanjari na hilo amezuia uuzaji na upelekaji wa wanyama hao nje ya nchi.
11 years ago
Habarileo22 Feb
Familia 1,500 kunufaika na vyandarua vya bure
FAMILIA 1,500 katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza zitanufaika na vyandarua vya bure vya kujikinga na ugonjwa wa malaria vitakavyotolewa na Shirika la Lake Victoria Children Centre (LVC).
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uVybV_yOiw8/U7gZQTSgCFI/AAAAAAAAFnM/ny7xqZbzCJY/s72-c/IMG_2317.jpg)
KANISA LA TAG (TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD) LAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA 1300 KWA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA MKOANI RUKWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-uVybV_yOiw8/U7gZQTSgCFI/AAAAAAAAFnM/ny7xqZbzCJY/s1600/IMG_2317.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
CWT yapinga punguzo la mafao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga vikali punguzo la mafao ya wastaafu wanachama wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) na watumishi wanachama wa LAPF. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuReydXw8a2PhmF2*RsiwTUO0oy2HI3G9QqwQqHtvGkeX5xdEHUZEE7O1q5*JeBMUA4LWWPBPJa9jmOtCrlDCB*Lj/SACHQUESBIGSALE222DONE.jpg?width=600)
PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA NGUO ZA KIKE
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/HijiaNRxHiA/default.jpg)
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Pata punguzo la tiketi za Diamond Dar Live
Mwandishi wetu
KAMPUNI ya simu za mkononi, Airtel kupitia huduma yao ya kijanja kimawasiliano ya Airtel Money Tap Tap wanakuletea punguzo la bei za tiketi za kumshuhudia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Krimasi (kesho) ndani ya Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na Amani, Meneja Huduma wa Airtel, Moses James alisema kuwa mteja anatakiwa kununua laini yake ya Airtel kisha kujiunga na huduma ya Airtel Money Tap Tap na baada ya hapo atakabidhiwa namba ya...
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
TAG kugawa vyandarua 8,550
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
KANISA la Tanzania Assemblies Of God (TAG), linatarajiwa kugawa vyandarua 8,550 vyenye thamani ya sh. milioni 135 katika hospitali 34 na vituo vya afya 83 kwenye mikoa ya Njombe, Mbeya na Rukwa.
Vyandarua hivyo vitaanza kugawiwa katika hospitali na vituo vya afya vyote vya serikali, taasisi za kidini na binafsi.
Askofu Mkuu wa TAG, Dk. Barnabas Mtokambali, aliyasema hayo jana wakati wa uzinduzi wa kugawa vyandarua hivyo katika hospitali ya Rufani Mbeya, ikiwa ni...