Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni ya ugawaji wa vyandarua vya hati Punguzo April 2015

Na Lorietha Laurence-Maelezo
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeandaa kampeni kwa ajili ya ugawaji wa vyandarua vya hati punguzo katika kaya nchini, inayotarajiwa kuanza mwezi Aprili mwaka 2015.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Dkt Kebwe Stephen, amesema kampeni hiyo imeanzishwa ili kuziba pengo kutokana na kusitishwa kwa huduma ya hati punguzo iliyokuwa ikifadhiliwa na Mennonite Economic Development Associates (MEDA)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vyandarua vya hati punguzo vyasitishwa

MPANGO wa hati punguzo ambao wajawazito na watoto wachanga, walikuwa wakigawiwa vyandarua bure, umesitishwa kutokana na kile kilichoelezwa ni udanganyifu, unaodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL: Kuna kampeni chafu kuzuia punguzo la umeme

HOFU ya kupoteza soko kwa makampuni ya kigeni yanayozalisha umeme dhidi ya makampuni ya Kitanzania imetajwa kuwa chanzo cha vita dhidi ya Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania...

 

11 years ago

Habarileo

Familia 1,500 kunufaika na vyandarua vya bure

FAMILIA 1,500 katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza zitanufaika na vyandarua vya bure vya kujikinga na ugonjwa wa malaria vitakavyotolewa na Shirika la Lake Victoria Children Centre (LVC).

 

10 years ago

Dewji Blog

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.

Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.   Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa...

 

5 years ago

Michuzi

RC SINGIDA ATAKA UADILIFU UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI AWAMU YA PILI 2020



 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo vitambulisho vya Wajasiriamali Awamu ya pili 2020 vilivyotolewa na Rais Dkt. John Magufuli mkoani hapa jana. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Angelina Lutambi. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Rahabu Mwagisa vitambulisho vya Wajasiriamali Awamu ya pili 2020.

 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (katikati)...

 

10 years ago

Vijimambo

UGAWAJI WA VYETI VYA URAIA KWA WATANZANIA WAPYA 152,572 WAFIKIA UKINGONI

Afisa Uhakiki, Neema Chilipweli (kushoto) akiihakiki familia ya Yohanna Bukuru (watatu kulia), pamoja na mkewe na watoto wao sita kutoka Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi, ikiwa ni hatua ya awali ya uhakiki ili familia hiyo iweze kupewa vyeti vya uraia wa Tanzania. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani