Pata punguzo la tiketi za Diamond Dar Live
Mwandishi wetu
KAMPUNI ya simu za mkononi, Airtel kupitia huduma yao ya kijanja kimawasiliano ya Airtel Money Tap Tap wanakuletea punguzo la bei za tiketi za kumshuhudia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Krimasi (kesho) ndani ya Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na Amani, Meneja Huduma wa Airtel, Moses James alisema kuwa mteja anatakiwa kununua laini yake ya Airtel kisha kujiunga na huduma ya Airtel Money Tap Tap na baada ya hapo atakabidhiwa namba ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
PATA UHONDO WA BURUDANI KUTOKA DAR LIVE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZpRIe3oJKi4/U5Fq86Rn3WI/AAAAAAACi5s/ex7u4_etMb0/s72-c/emirates.jpg)
Emirates yatoa punguzo maalumu la bei za tiketi kwa Watanzania wanaokwenda Chicago, Marekani
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZpRIe3oJKi4/U5Fq86Rn3WI/AAAAAAACi5s/ex7u4_etMb0/s1600/emirates.jpg)
Shirika la Ndege la Emirates, linalosifika kwa kutoa huduma bora za usafiri wa anga kwa abiria kwa mataifa mbalimbali, limetangaza ofa maalumu kwa Watanzania watakaokwenda Chicago nchini Marekani, kupitia Dubai wakitokea Dar es Salaam. Punguzo hilo au ofa hiyo maalumu ni kwa madaraja ya abiria wa kawaida yaani Economy Class na daraja la wafanyabiashara ‘Business Class’.
Emirates ilitangaza ofa hiyo mapema...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Diamond kuwasha moto Dar Live
Diamond Platinumz.
KWENYE bodaboda, bajaj zote za town, redioni, luningani na kwenye mitandao mingi inazungumziwa pini mpya ya Utanipenda, kitu kipya cha Diamond Platinumz maarufu mitaani kama Baba Tiffah.
Wakati hayo yakiendelea, mwishoni mwa wiki iliyopita, yeye na mpenziwe, Zarinah Hassan au Mama Tiffah, wakafanikiwa kujiongezea tuzo nyingine ya ASFA 2015 katika kipengele cha Best Couple ya Afrika Mashariki, zilizotolewa Uganda.
Ukiachana na hiyo tuzo na nyingine nyingi alizokomba na...
10 years ago
GPLLIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Diamond: Njooni Dar Live X-mas, sitawaangusha!
Diamond Platnumz akiwasalimia mashabiki wake waliofurika katika eneo la Karume leo kwenye mkutano na wanahabari kuhusu shoo yake itakayofanyika Dar Live kwenye Sikukuu ya Krismasi.
Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda sambamba na mashabiki waliofurika Karume leo.
Mashabiki wakiwa wamepagawa wakati Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda.
Meneja Masoko wa Global Publishers na Dar Live, Innocent Mafuru (mwenye tisheti nyeupe aliyesimama kulia) akiwakaribisha wanahabari,...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Diamond aweka historia tena Dar Live
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki...
10 years ago
GPLSHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
9 years ago
Global Publishers20 Dec
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Diamond na Mzee Yusuf kuumana Dar Live