Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Bagonza mpenzi wa teolojia ya Bonhoeffer — 2

Wiki iliyopita tuliona namna Dk. Bagonza alivyohoji mfumo wa utawala (serikali) ikiwa matendo yake ni halali, yaani kuukumbusha mfumo (serikali) wajibu wake kwa raia, pili ikiwa hatua ya kwanza haijafanya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu Bagonza: Rushwa imetufikisha pabaya

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza amesema rushwa imelifikisha taifa mahala pabaya. Kutokana na hali hiyo, amewataka viongozi wa dini kukemea hilo...

 

10 years ago

Mwananchi

Bagonza: Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba

Dar es Salaam. Mjadala kuhusu tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania umezidi kupamba moto baada ya Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzani (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, kupinga kuwapo kwa mgawanyiko miongoni mwao kama unavyosemwa na Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Bagonza: Mipaka ya nchi siyo salama

>Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Dk.Benson Bagonza ameonyesha wasiwasi wake kuhusu hatua ambazo Serikali inachukua katika kudhibiti kuingia kwa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya Taifa.

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani