Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Bagonza: Mipaka ya nchi siyo salama

>Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Dk.Benson Bagonza ameonyesha wasiwasi wake kuhusu hatua ambazo Serikali inachukua katika kudhibiti kuingia kwa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu Bagonza: Rushwa imetufikisha pabaya

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza amesema rushwa imelifikisha taifa mahala pabaya. Kutokana na hali hiyo, amewataka viongozi wa dini kukemea hilo...

 

9 years ago

Mwananchi

Pombe siyo salama kwa wajawazito

Moja ya vinywaji vinavyopendwa na watu wengi nchini ni pombe. haihitaji kufanya utafiti bali tu macho yako kuthibitisha hili.

 

10 years ago

Vijimambo

Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la PeramihoJimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini. Halmashauri hii inaundwa na kata 19, vijiji 74 na vitongoji 617 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 hapa Peramiho kuna wakazi 173,821 wanaume wakiwa 86,548, wanawake 87,273 na kuna wastani wa watu wanne katika kila kaya.Peramiho ni kati ya majimbo ambayo yalikuwa na vuguvugu la mabadiliko mwaka 1995 kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi, japokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama

“Pale haki inaponyimwa, pale umaskini unapoimarishwa, siyo watu, wala mali watakuwa salama”

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho

Jimbo la Peramiho ni eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Songea, maarufu kwa jina la Songea Vijijini.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YAIMALISHA MIPAKA YA NCHI

Mkurugenzi msaidizi, Topografia na Jiodesia, wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dr. James Mtamakaya,(katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mipaka ya Kimataifa, baina ya Tanzania na nchi jirani, katika ukumbi wa HABARI – MAELEZO, (kulia)ni Mpima Ardhi, Geofrey Kameta na (kushoto) kwake ni Mkurugenzi msaidizi, Upimaji Vijijini, Huruma Lugalla.
Mkurugenzi msaidizi, Upimaji vijijini, Bw. Huruma Lugalla akionyesha kwenye ramani mipaka mbalimbali ya ndani ya nchi na...

 

5 years ago

CCM Blog

NCHI 24 ZA AFRIKA ZAFUNGA MIPAKA KUZUIA KUENEA VIRUSI VYA COVID-19

Nchi 24 za Afrika zafunga mipaka kuzuia kuenea virusi vya COVID-19Takriban nchi 24 za Afrika zimefunga mipaka yake kutokana na hofu ya kuenea kwa virusi vya ugonjwa hatari wa COVID-19 au corona ambao unazidi kuenea kwa kasi barani humo.Katika taarifa, Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika (Africa CDC), ambacho ni taasisi maalumu la Umoja wa Afrika, kimesisitiza kwamba nchi nyingine saba za Afrika zimeweka vizuizi vya kusafiri kutoka baadhi ya nchi. Aidha taarifa hiyo imeseba nyingine saba zimetoa maelekezo ya vizuizi vya kuingia nchini kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MGHWIRA ATEMBELEA NA KUKAGU MIPAKA WILAYA YA ROMBO NCHI JIRANI YA KENYA

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezitaka familia zilizopokea ndugu kutoka nchi jirani kupitia njia za panya na hawakukaa karantini kwa siku 14, kuwapeleka kwenye vituo vya afya ili kupimwa afya zao kama wana maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona.
Mkuu huyo wa Mkoa ametoa agizo hilo leo Jumatatu Aprili 13, 2020 baada ya kutembelea na kukagua  mipaka wilayani Rombo na nchi jirani ya Kenya iliyopo Rongai, Kamwanga na Holili.
''Niziombe familia zote za Rombo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA FORODHA NA ULINZI WA MIPAKA WA MAREKANI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akizungumza na Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia masuala ya ushirikiano wa shughuli za kiulinzi kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Marekani hapa nchini Bi. Virginia Blaser. Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske (kulia), akifafanua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani