NCHI 24 ZA AFRIKA ZAFUNGA MIPAKA KUZUIA KUENEA VIRUSI VYA COVID-19
Takriban nchi 24 za Afrika zimefunga mipaka yake kutokana na hofu ya kuenea kwa virusi vya ugonjwa hatari wa COVID-19 au corona ambao unazidi kuenea kwa kasi barani humo.Katika taarifa, Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika (Africa CDC), ambacho ni taasisi maalumu la Umoja wa Afrika, kimesisitiza kwamba nchi nyingine saba za Afrika zimeweka vizuizi vya kusafiri kutoka baadhi ya nchi. Aidha taarifa hiyo imeseba nyingine saba zimetoa maelekezo ya vizuizi vya kuingia nchini kwa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya Corona: Je, nchi za Afrika zimeweza kuzuia kasi ya maambukizi?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HHw5xYhZk1s/Xkr0IpD5OGI/AAAAAAALdz0/mvRMitCj17Qz-WLLXzacCirSdzuNwZ6YQCLcBGAsYHQ/s72-c/c3a19933-3a0b-4a47-b7df-3ce7e62f50fc.jpg)
RAIA WA CHINA WAZIDI KUKUMBANA NA ZUIO LA KUSAFIRI KUDHIBITI KUENEA KWA VIRUSI VYA COVID 19
![](https://1.bp.blogspot.com/-HHw5xYhZk1s/Xkr0IpD5OGI/AAAAAAALdz0/mvRMitCj17Qz-WLLXzacCirSdzuNwZ6YQCLcBGAsYHQ/s640/c3a19933-3a0b-4a47-b7df-3ce7e62f50fc.jpg)
NUSU ya idadi ya raia wa China ambao wamefikia zaidi wa watu milioni 780 wamekumbana zuio la kusafiri ikiwa ni sehemu ya mlengo wa Mamlaka husika inayoendelea kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona (Covid 19)
Tangu virusi hivyo vimeikumba nchi hiyo takribani watu 1,770 wamepoteza maisha huku watu 70,000 wakiwa wameambukizwa virusi hivyo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la Utangazaji CNN imeelezwa kuwa kumekuwa na zuio la safari na msisitizo kwa watu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OUOhUfH_2ao/XqMLYpo0AdI/AAAAAAALoIY/AEkNAvMKvFQUvLGK0UkFqkGAIIaFyRKqwCLcBGAsYHQ/s72-c/94312930_2741905162575055_8908452115450429440_o.jpg)
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Wanyama wa mwituni wanavyokatiza mitaa ambayo watu wake wanajifungia ndani kuzuia kusambaa kwa Covid-19
5 years ago
BBCSwahili09 Jun
Virusi vya corona: Kijiji kilicho Afrika Kusini chajiandaa kupambana na Covid-19
5 years ago
BBCSwahili26 Apr
Virusi vya corona : Namna nchi za Afrika zinavyotekeleza amri ya kutotoka nje
5 years ago
BBCSwahili09 Apr
Virusi vya corona : Hatari ya kuwepo kwa dawa bandia katika nchi za Afrika
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lk_J7fF17gI/Xrg7Bpq1M1I/AAAAAAALprs/GXTFuwX_dLUBMpjuNDMrZFYU_gMiBrXZwCLcBGAsYHQ/s72-c/RTS32VL3.jpg)
LICHA YA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU KWA ASILIMIA 25.00, LESOTHO NI NCHI PEKEE AFRIKA AMBAYO HAIJAKUMBWA NA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-lk_J7fF17gI/Xrg7Bpq1M1I/AAAAAAALprs/GXTFuwX_dLUBMpjuNDMrZFYU_gMiBrXZwCLcBGAsYHQ/s400/RTS32VL3.jpg)
HADI sasa Lesotho haijatangaza kisa cha maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) licha ya majirani zao Afrika kusini kuwa na kesi za Covid-19 zaidi ya elfu saba na vifo zaidi ya mia moja, pia Lesotho inakua nchi pekee kati nchi 54 barani Afrika ambayo haijaripoti maambukizi ya virusi hivyo ila nchi hiyo imeendelea kuchukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kufunga, mipaka, vyuo, shule pamoja na shughuli nyingine...
5 years ago
MichuziSINGIDA YAWA MWENYEJI KITAIFA UZINDUZI RASMI WA PROGRAMU YA MAPAMBANO DHIDI YA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA