Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGHWIRA ATEMBELEA NA KUKAGU MIPAKA WILAYA YA ROMBO NCHI JIRANI YA KENYA

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezitaka familia zilizopokea ndugu kutoka nchi jirani kupitia njia za panya na hawakukaa karantini kwa siku 14, kuwapeleka kwenye vituo vya afya ili kupimwa afya zao kama wana maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona.
Mkuu huyo wa Mkoa ametoa agizo hilo leo Jumatatu Aprili 13, 2020 baada ya kutembelea na kukagua  mipaka wilayani Rombo na nchi jirani ya Kenya iliyopo Rongai, Kamwanga na Holili.
''Niziombe familia zote za Rombo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA FORODHA NA ULINZI WA MIPAKA WA MAREKANI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akizungumza na Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia masuala ya ushirikiano wa shughuli za kiulinzi kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Marekani hapa nchini Bi. Virginia Blaser. Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske (kulia), akifafanua...

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA Inbox x


Bunduki ya kivita aina ya AK47 ambayo imekamatwa wilayani Ngorongoro na Jeshi la polisi wakishirikiana pamoja na kikosi cha ujangili kanda ya Ziwa huko Oloshoo Kata ya Enguserosambu picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Sehemu ya risasi zilizokutwa kwenye magazine ya bunduki hiyo baada ya msako mkali wilayani Ngorongoro

Askari wa kikosi kazi cha Jeshi la Polisi akijaribu Silaha hiyo mbele ya waandishi wa habari kabla kamanda wa Jeshi hilo hajaongea nao leo jijini hapa

Kamanda Shana akiwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Diwani atuhumiwa kuuza maji wilaya jirani

WANANCHI wa kijiji cha Manghweta kata ya Chamkoroma wilaya ya Kongwa mkoa wa Dodoma wamemshutumu diwani wao, Daimon Mdumbe kwa kuuza maji katika wilaya jirani wakati wao wakinywa maji kutoka kwenye makorongo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lashambulia nchi Jirani

Kundi la wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria limeshambulia mji mmoja nchini Niger

 

10 years ago

Habarileo

Maziwa kutoka nchi jirani yalalamikiwa

CHAMA cha Wafugaji wa Ng’ombe wa Maziwa (TDCU) kinakusudia kumwandikia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kupinga uingizwaji holela wa maziwa yaliyosindikwa kutoka nchi jirani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Wanafunzi walipelekwa nchi jirani

Baadhi ya wasichana waliotekwa nyara na Boko Haram, wanaaminika kupelekwa katika nchi jirani za Cameroon na Chad na kuolewa na wapiganaji.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nitaboresha uhusiano wa kibiashara na nchi jirani

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema serikali yake itashirikiana na nchi jirani ili kuhakikisha wananchi wa mikoa ya mipakani wanapata fursa za kibiashara katika nchi hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani