Dk. Bilal: Muhimbili boresheni maslahi
MAKAMU wa Kwanza wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, ameutaka uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kutumia fedha zinazotokana na huduma za wagonjwa binafsi, yaani ‘Intramural Private Practice’ (IPPM) kuboresha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-wgRBly8wWFw/UtZPshP2NaI/AAAAAAACYrc/9citUXN5X4Q/s1600/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI MAWAZIRI WALIOLAZWA MUHIMBILI
11 years ago
Michuzi02 Jun
DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI
10 years ago
BBCSwahili21 May
Boresheni hali ya wafanyakazi :Amnesty
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Magufuli: Wafanyakazi boresheni mahusiano
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amelitaka Baraza la Wafanyakazi la wizara yake kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya taasisi inazozisimamia kwa kuwa uhusiano uliopo si wa kuridhisha. Akitoa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Kila la heri ZAWA boresheni utendaji wenu
NCHI nyingi hivi karibuni ikiwemo Tanzania ziliadhimisha Siku ya Maji Duiani, Machi 22. Sasa ni miaka 11 tokea maadhimisho haya kufanyika baada ya azimio la Umoja wa Mataifa (UN) kuwa...
11 years ago
Dewji Blog31 May
Dkt. Bilal afungua kituo cha tiba, uchunguzi na mafunzo ya magonjwa na saratani za matumbo na Ini cha hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Kituo cha Tiba, Uchunguzi na Mafunzo ya Magonjwa na Saratani za Matumbo na Ini cha Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa Hafla fupi ya ufunguzi huo iliyofanyika Hospitalini hapo jijini Dar es Salaam, jana Mei 30, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) Mwakilishi wa Taasisi ya...
11 years ago
BBCSwahili16 Jan
Maslahi ya UG, Sudan Kusini
11 years ago
Habarileo04 Feb
Wanasheria kuboreshewa maslahi
SERIKALI inaangalia uwezekano wa kuboresha maslahi kwa wanasheria wa Serikali, ili ofisi ya Mwanasheria Mkuu na Mwendesha Mashitaka zitekeleze majukumu yao ipasavyo. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana, wakati wa Siku ya Sheria nchini, ambayo huadhimishwa kuashiria kuanza kwa shughuli za mahakama kila mwaka.