Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kila la heri ZAWA boresheni utendaji wenu

NCHI nyingi hivi karibuni ikiwemo Tanzania ziliadhimisha Siku ya Maji Duiani, Machi 22. Sasa ni miaka 11 tokea maadhimisho haya kufanyika baada ya azimio la Umoja wa Mataifa (UN) kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kila la heri Kalenga

HATIMAYE tambo na vijembe vya kisiasa vilivyotawala kwa takriban mwezi mmoja katika Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa, vitamalizika kesho wakati wananchi wa jimbo hilo watakapojitokeza kupiga kura. Uchaguzi huo mdogo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kila la heri 2014

HERI ya mwaka mpya msomaji wa safu hii ya Busati, ambayo leo itakuwa ni ya kwanza katika mwaka huu 2014. Awali ya yote, napenda kuwapongeza wote ambao Mwenyezi Mungu ametujalia...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga: Ngassa kila la heri

Pg 32, NgassaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemtakia kila la heri aliyekuwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa, baada ya kupata ulaji nchini Afrika Kusini.
Ngassa jana ameingia mkataba wa miaka minne kuichezea timu Free State Stars, inayocheza Ligi Kuu nchini humo, baada ya kufuzu majaribio na kukabidhiwa jezi rasmi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, alisema ni jambo la kujivunia kwa klabu kutoa mchezaji kucheza soka la kulipwa la kimataifa na...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kila la heri wabunge Bunge la 10

BUNGE la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linamaliza muda wake wa kikatiba leo kwa kuvunjwa na Rais Jakaya Kikwete mjini Dodoma baada ya kudumu kwa takriban miaka mitano.

Leo itakuwa siku ya mwisho kwa wabunge kadhaa kuwapo mjini Dodoma wakiwa na wadhifa huo wa uwakilishi wa wananchi, kwani wote sasa wanalazimika kwenda majimboni kutetea nafasi hizo.

Ni kipindi kigumu ndani ya mioyo ya wengi lakini kwa wanaofahamu kwamba cheo ni dhamana, hiki ni kipindi muhimu kwao kujipima...

 

9 years ago

Mwananchi

Kila la heri wanafunzi darasa la saba

Wanafunzi wa darasa la saba nchini, leo wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, huku wakiwa na shauku kubwa kufanya mtihani huo kwa kutumia mfumo mpya wa ufanyaji na usahihishaji wa mitihani ambao ulianza kutumika nchini miaka mitatu iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Kila la heri Tamasha la Sanaa Bagamoyo

Jumatatu ya Septemba 22, Tamasha la 33 la Sanaa la Bagamoyo litaanza, likiratibiwa na Chuo cha Sanaa cha Bagamoyo, ikiwa ni sehemu ya kuonyesha vipaji walivyozalisha kwa mwaka huu, lakini pia ni msimu wa burudani na furaha kwa wakazi wa Bagamoyo na vitongoji vyake.

 

10 years ago

Mwananchi

Kila la heri Azam FC Kombe la Kagame leo

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki ya Kombe la Kagame, Azam FC leo wanapambana na Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya fainali itakayofanyika Uwanja wa Taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kila la heri Yanga Cairo, msiyumbishwe na fitna 

TIMU ya Yanga kwa sasa ipo jijini Cairo, Misri tayari kwa mechi ya marudiano katika  raundi ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kila la heri Yanga, KMKM, Azam, Chuoni

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF), timu za Yanga, KMKM, Azam na Chuoni FC, leo na kesho zitaingia kwenye viwanja tofauti kucheza mechi zao za kwanza za mashindano hayo katika hatua ya awali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani