Dk. Harrison Mwakyembe ni Waziri pekee kufanya ziara ya kikazi TCCA
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Ofisi ya Mamaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na wanafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi ya TCAA.Wapili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa bodi hiyo Mbwana Mbwana.Kulia ni makamu Mwenyekiti Weggoro Nyamajeje na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya TCAA , Charles Chacha. Waziri Dk. Harrison Mwakyembe ndiyo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJOIRy4*jb49RUaP0OBtwtIEfw9atEpYPCnW88Q4O3jbWGVkgZifizfosJHPb*n2zjECAZ8-omvxObjkhJNiVGxP/01.jpg?width=650)
WAZIRI WA UCHUKUZI DK.HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Ofisi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na wafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi ya TCAA.Wapili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa bodi hiyo Mbwana Mbwana.Kulia ni makamu Mwenyekiti Weggoro Nyamajeje na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pk9kp3f-4BU/VIHCKSjAfYI/AAAAAAAG1c0/QWMXkTLgmMI/s72-c/unnamed1.jpg)
WAZIRI WA UCHUKUZI DK. HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA JENGO LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA
![](http://3.bp.blogspot.com/-pk9kp3f-4BU/VIHCKSjAfYI/AAAAAAAG1c0/QWMXkTLgmMI/s1600/unnamed1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-8tubJQEmrxE/VIHCKMPYDXI/AAAAAAAG1cs/Ji-JAEh3I5E/s1600/unnamed2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CC_BdQbdJGo/Xsfz5VbtRBI/AAAAAAALrTs/6CPow7YcVrcdb36Gqf4RE9Mo7B8U4M9wACLcBGAsYHQ/s72-c/3bf7b521-95c5-44a8-b6a6-884ef19f17cd.jpg)
WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA
Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.
Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.
Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vFnqKAuS0NQ/VA2nvNtp2EI/AAAAAAAAXBE/D8hz6H64urw/s72-c/president-yoweri-museveni-state-house-uganda%5B1%5D.jpg)
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kufanya ziara ya kikazi nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-vFnqKAuS0NQ/VA2nvNtp2EI/AAAAAAAAXBE/D8hz6H64urw/s1600/president-yoweri-museveni-state-house-uganda%5B1%5D.jpg)
Katika ziara hiyo nchini, Mhe. Museveni atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam. Rais Museveni ataondoka baadaye siku hiyo hiyo kurejea nyumbani.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI,WIZARA YA MAMBO YA NJE NA...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-c8gmlZWPHmw/UwoKCSUs_sI/AAAAAAAFPFw/RRrgbnfGA4E/s72-c/membe.jpg)
Membe (Mb.) kufanya ziara ya kikazi ya siku tano katika Jamhuri ya Watu wa China
![](http://1.bp.blogspot.com/-c8gmlZWPHmw/UwoKCSUs_sI/AAAAAAAFPFw/RRrgbnfGA4E/s1600/membe.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2rjRxEHH4NM/VosynqFbqXI/AAAAAAAIQWE/pOcU244Ic74/s72-c/cbf145ef-28b5-4711-8c90-36aa20623682.jpg)
WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TAKUKURU
![](http://4.bp.blogspot.com/-2rjRxEHH4NM/VosynqFbqXI/AAAAAAAIQWE/pOcU244Ic74/s640/cbf145ef-28b5-4711-8c90-36aa20623682.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Gb_JprXKBvc/VosyoIKjijI/AAAAAAAIQWI/7pF7Uh9YCIc/s640/7f3b0972-e909-4195-90d9-5a0b8178868e.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-azDawX45axQ/Vosyrpu88XI/AAAAAAAIQWU/7egUsPtyWMc/s640/1eb3c330-d88a-4153-b285-15fe3c02847a.jpg)
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed...
10 years ago
MichuziWAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA
11 years ago
Michuzi23 Feb
Waziri Shamhuna alipofanya ziara ya kikazi nchini Oman
![](https://1.bp.blogspot.com/-KsJHaUBht-o/UwcFVxY98LI/AAAAAAAFOkY/feUkW9pnWlk/s640/New+Picture+%281%29.png)
![](https://4.bp.blogspot.com/-vW8rKLGqhYU/UwcFVDpqD8I/AAAAAAAFOkQ/KcmUiDx2x2c/s640/New+Picture+%282%29.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania