Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Kigwangalla afanya ziara za kushtukiza katika Kituo Foreplan Clinic kinachomilikiwa na Dk. Mwaka

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasili katika kituo cha Foreplan Clinic kinachotoa tiba mbadala kilichopo Ilala Bungoni,  jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho jana jioni. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Tiba Asilia na Tiba Mbadala Dk.Paul Mhame kutoka wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog)

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DK. KIGWANGALA AFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA KATIKA KITUO FOREPLAN CLINIC KINACHOMILIKIWA NA DK. MWAKA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala leo majira ya jioni amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo kinachotoa tiba mbadala cha Foreplan Clinic kinachomilikiwa na Dk. Mwaka Juma Mwaka kilichopo Ilala Bungoni na kujionea hali halisi ya kituo hicho. Mara baada ya kufika alianza kufanya ukaguzi kuanzia sehemu ya Mapokezi mpaka kwenye vyumba vya matabibu lakini katika vyumba vyote hakuna daktari aliyekuwa anatoa huduma.
Akizungumza na wagonjwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza leo katika hospitali za rufaa mikoa ya Lindi na Mtwara

IMG_9315

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

IMG_9342

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi...

 

9 years ago

Global Publishers

Kigwangalla Afanya Ziara ya Kushtukiza Hospitali za Rufaa Lindi na Mtwara‏

IMG_9315

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi.

IMG_9342

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga akimkaribisha Dkt. Hamisi Kigwangalla alipotembelea wodi za hospitali hiyo wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya leo mkoa wa Lindi.Katikati...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MITAMBO YA GESI YA TEGETA JIJINI DAR.

Ni majira ya saa 10 na dakika 10 Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Mhongo ndipo alipofika katika mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinachomilikiwa na Tanesco bila ya kutoa taarifa na kukuta wafanyakazi pamoja na wahandisi wa kituo hicho cha umeme wakiendelea na kazi katika mitambo hiyo. 
Na kukagua mitambo hiyo leo  na kubaini kuwa umeme uniti moja inatengenezwa kwa gharama ya shilingi 90 na kuuzwa kwa wananchi kwa shilingi 180 ikiwa ni kiwango kikubwa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WAZEE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR LEO.

Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akielekea katika hospitali ya Amana leo jijini Dar es Salaa mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.        Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na            Watoto, Dkt.  Khamis Kigwangala akizungumza na wauguzi aliowakuta katika          hospitali ya Amana leo alipotembelea katika hospitali hiyo jijini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Modi afanya ziara ya kushtukiza Pakistan

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ametua nchini Pakistan kwenye ziara ya kushtukiza ambayo ni ya kwanza kwa waziri mkuu wa India nchini humo katika zaidi ya mwongo mmoja.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hatima ya Foreplan Clinic keshokutwa

HATIMA ya ombi la kuwataka maofisa wa afya waache kuingilia shughuli za kituo cha Sayansi ya Tiba Mbadala cha ‘Foreplan Clinic’ kinachoendeshwa na Dk. Juma Mwaka, itajulikana keshokutwa. Kituo hicho...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Hazina Kuu

Rais mpya wa Tanzania John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Hazina Kuu siku moja tu baada yake kuapishwa.

 

9 years ago

Michuzi

KASI YA RC KILIMANJARO NI BALAA, AFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA

Na Mwandishi Wetu, Moshi.MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, RC Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani