Hatima ya Foreplan Clinic keshokutwa
HATIMA ya ombi la kuwataka maofisa wa afya waache kuingilia shughuli za kituo cha Sayansi ya Tiba Mbadala cha ‘Foreplan Clinic’ kinachoendeshwa na Dk. Juma Mwaka, itajulikana keshokutwa. Kituo hicho...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Dk. Kigwangalla afanya ziara za kushtukiza katika Kituo Foreplan Clinic kinachomilikiwa na Dk. Mwaka
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasili katika kituo cha Foreplan Clinic kinachotoa tiba mbadala kilichopo Ilala Bungoni, jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo hicho jana jioni. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Tiba Asilia na Tiba Mbadala Dk.Paul Mhame kutoka wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog)
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...
9 years ago
MichuziDK. KIGWANGALA AFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA KATIKA KITUO FOREPLAN CLINIC KINACHOMILIKIWA NA DK. MWAKA
Akizungumza na wagonjwa...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Wanawake wapinga Foreplan Kliniki kufungiwa
ZAIDI ya wanawake 200 jijini Dar es Salaam, wameandamana hadi katika ofisi za Foreplan Kliniki, iliyopo Ilala-Bungoni, kupinga hatua iliyochukuliwa na serikali ya kukifungua kituo hicho mwishoni mwa wiki iliyopita....
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Kenya kuamua kuchaguana keshokutwa
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Hitima ya Mama Zitto keshokutwa
HITIMA ya aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Shida Salum, inatarajiwa kufanyika nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar es Salaam Jumamosi ya wiki hii. Kwa mujibu...
11 years ago
GPL
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Nauli za mabasi ya DART kujadiliwa keshokutwa
10 years ago
Habarileo26 Aug
Stars kucheza na Libya keshokutwa Uturuki
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro ambayo iliwasili juzi nchini Uturuki, imeendelea na mazoezi jana asubuhi katika viwanja viliyopo kwenye Hoteli ya Green Park – Kartepe.
10 years ago
VijimamboKESI YA MADAI DHIDI YA MAOFISA WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUDAIWA KUIFUNGA KLINIKI YA FOREPLAN HERBAL YAWAVUTA WATU WENG