Kenya kuamua kuchaguana keshokutwa
Wakenya keshokutwa wanapiga kura kuchagua viongozi wa kuongoza mamlaka ya nchi kwa kipindi kingine cha miaka mitano, huku Kituo cha Taifa cha Haki za Binadamu nchini Kenya (KNCHR), Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) kuhakikisha matokeo ya kura zilizopigwa kwenye maeneo yasiyokuwa na mtandao yanakuwa sahihi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
JWK kuchaguana
JUMUIYA ya Wafanyabiashara Soko Kuu la Kariakoo (JWK), inatarajia kufanya uchanguzi wa viongozi wake Novemba 29 mwaka huu, katika nafasi mbalimbali ndani ya jumuiya hiyo. Akizungumza na Tanzania Daima jijini...
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Kariakoo kuchaguana Novemba 29
JUMUIYA ya Wafanyabiashara Soko Kuu la Kariakoo (JWK), inatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wake Novemba 29 mwaka huu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Mwenyekiti wa JWK,...
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Simba kuchaguana Mei 4
UCHAGUZI Mkuu wa Klabu ya Simba, umepangwa kufanyika Mei 4, mwaka kuhitimisha kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Alhaji Ismail Aden Rage aliyeingia madarakani Mei 9, 2010. Kwa mujibu...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Waandishi Morogoro kuchaguana Agosti 22
Na Ashura Kazinja, Morogoro
HEKAHEKA ya kupata viongozi wapya watakaoongoza kwa miaka mitatu Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro (MOROPC) zimeanza.
Hayo yalibainishwa na mratibu wa klabu hiyo, Thadei Hafigwa, wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini hapa ambapo alisema uchaguzi huo utafanyika Agosti 22, mwaka huu.
Alisema uchaguzi huo unafanyika ili kutekeleza azimio la mkutano mkuu wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) ili kuiweka vema...
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Kuchaguana kwa jinsia sio sahihi
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
TFF yabariki rasmi Simba kuchaguana
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limebariki rasmi kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba kama ulivyopangwa awali hapo Juni 29. Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisa Habari wa TFF,...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Hatima ya Foreplan Clinic keshokutwa
HATIMA ya ombi la kuwataka maofisa wa afya waache kuingilia shughuli za kituo cha Sayansi ya Tiba Mbadala cha ‘Foreplan Clinic’ kinachoendeshwa na Dk. Juma Mwaka, itajulikana keshokutwa. Kituo hicho...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydU9kRYjtoL3C8Dhz2Q0xOZS54s5lIVJMxMPKkSp4Ue78q-onzFKjez*MP1Tpl2U5K4nFJtnJceGvhCNZSzfxj5q/HAPATOSHIDARLIVEcopy.jpg?width=450)
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Hitima ya Mama Zitto keshokutwa
HITIMA ya aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Shida Salum, inatarajiwa kufanyika nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar es Salaam Jumamosi ya wiki hii. Kwa mujibu...