Dk. Magufuli, Samia Suluhu Hassan wakabidhiwa vyeti
Rais Mteule wa awamu ya tano Dokta John Pombe Magufuli na makamu wake Samia Suluhu Hassan wamekabidhiwa vyeti vya ushindi wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hatua hiyo ni uthibitisho wa kuwa viongozi wakuu wa Taifa la Tanzania kwa mwaka 2015/2020.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC inatumia ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kukabidhi vyeti vya ushindi wa urais baada ya kukamilika kwa zoezi la uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015.
Mwenyekiti wa NEC Jaji mstaafu...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)14 Nov
Samia Suluhu Hassan, Perfect Magufuli aide
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
DESPITE being a hardworking leader, driven by passion to lead the nation driven by integrity, development, and defined systems…the factors that gave Dr John Pombe Magufuli's recent victory into power was also accorded by his decision to nominate a ...
9 years ago
StarTV25 Aug
Samia Suluhu Hassan aanza kumnadi Magufuli Same
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kampeni za kumnadi Mgombea Urais kupitia CCM Dokta John Pombe Magufuli na kueleza Ilani ya Chama hicho.
Mkutano wa kwanza wa mgombea huyo mwenza umeanzia katika Kijiji cha Hedaru wilayani Same mkoani Kilimanjaro ambapo wakazi wa kijiji hicho wamemweleza mgombea huyo tatizo la maji linalowakabili.
Samia Suluhu Hassan ameanza kampeni zake kwa kutembelea Hospitali ya Hedaru na kuangalia changamoto kwenye...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-OLxZjqKvGj0/VaJX-BI5mCI/AAAAAAABCYQ/is9uaSQcNrU/s72-c/SAMIA%2B3.jpg)
MH. MAGUFULI AMTANGAZA SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MGOMBEA MWENZA WAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-OLxZjqKvGj0/VaJX-BI5mCI/AAAAAAABCYQ/is9uaSQcNrU/s640/SAMIA%2B3.jpg)
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Mh John Pombe Magufuli amemtangaza mgombea mwenza wake kuwa ni Mh. Samia Suluhu Hassan.
Mh Magufuli amemtangaza Mh Samia wakati alipokuwa akikishukuru chama chake kwa kumteua kuipeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao baadaye mwaka huu.
Baada ya kumtangaza Mh Samia kuwa mgombea mwenza wake, ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe na vigelele.
Hii ni mara ya kwanza tangu uhuru kwa Tanzania kuwa...
10 years ago
TheCitizen12 Jul
Dr Magufuli names Samia Suluhu Hassan as his running mate ahead of the 2015 elections
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ko9umsEHNXc/VaUGRtSM7LI/AAAAAAAHpm8/a9Ifs3DIywU/s72-c/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
Dkt John Pombe Magufuli na Mhe. Samia Suluhu Hassan watua Dar leo, wapokewa kwa shangwe
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ko9umsEHNXc/VaUGRtSM7LI/AAAAAAAHpm8/a9Ifs3DIywU/s640/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fwHgodok-pQ/VaUGRuvyIBI/AAAAAAAHpm4/LbyIMC5bUqk/s640/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DX_0fVUCThs/VmGbI76JGOI/AAAAAAADb7o/ixTcoN1oFog/s72-c/SAFIRI%2B1.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG
![](http://4.bp.blogspot.com/-DX_0fVUCThs/VmGbI76JGOI/AAAAAAADb7o/ixTcoN1oFog/s640/SAFIRI%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-hAsJcAaHUzY/VmGbJKSRLLI/AAAAAAADb7s/30gEkTIPMv8/s640/WASILI.jpg)
10 years ago
A Tough Journey From Activism To Politics18 Sep
Samia Suluhu Hassan
AllAfrica.com
And yet, 14 years down the lane she has risen through the ranks to become the Vice-Chairperson of the ongoing Constituent Assembly in Dodoma. In addition, the soft-spoken activist turned politician is the Minister of State in the Vice-President's Office, ...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7W5jOrVYP1c/VmGQuZ4dt-I/AAAAAAAIKMQ/2q9BG5htrVk/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG LEO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-7W5jOrVYP1c/VmGQuZ4dt-I/AAAAAAAIKMQ/2q9BG5htrVk/s640/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-iTexBmmlMUU/VmGQxX2RofI/AAAAAAAIKM8/VKUiZwrMo5s/s640/WASILI.jpg)
9 years ago
Vijimambo30 Oct
Historia ya bi Samia Suluhu Hassan
![](http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/07/12/150712161831_bi_samia_suluhu_hassan_ni_mtanzania_mwenye_asili_ya_zanzibar_624x351_bbc_nocredit.jpg)
Ushindi wa John Pombe Magufuli wa CCM umetoa fursa kwa bi Samia Suluhu Hassani kuhudumia taifa hilo la Afrika Mashariki kama mwanamke wa kwanza kuwa makamu wa rais wa Tanzania.
Lakini bi Samia ni nani?
Tangu kongamano la Chama tawala nchini Tanzania CCM kumteua Daktari John Pombe Magufuli Joseph kuwa mshika bendera wa CCM , Chama hicho kiliweka historia pia kwa kumteua bi Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza.
Tangu Dodoma Bi Samia aliwekwa...