Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Historia ya bi Samia Suluhu Hassan

Image captionHistoria ya Samia Suluhu Hassan wa CCM
Ushindi wa John Pombe Magufuli wa CCM umetoa fursa kwa bi Samia Suluhu Hassani kuhudumia taifa hilo la Afrika Mashariki kama mwanamke wa kwanza kuwa makamu wa rais wa Tanzania.
Lakini bi Samia ni nani?
Tangu kongamano la Chama tawala nchini Tanzania CCM kumteua Daktari John Pombe Magufuli Joseph kuwa mshika bendera wa CCM , Chama hicho kiliweka historia pia kwa kumteua bi Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza.
Tangu Dodoma Bi Samia aliwekwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

A Tough Journey From Activism To Politics

Samia Suluhu Hassan


Samia Suluhu Hassan - a Tough Journey From Activism to Politics
AllAfrica.com
And yet, 14 years down the lane she has risen through the ranks to become the Vice-Chairperson of the ongoing Constituent Assembly in Dodoma. In addition, the soft-spoken activist turned politician is the Minister of State in the Vice-President's Office, ...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Huyu hapa Samia Hassan Suluhu

JANA, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Joseph Magufuli alimtangaza Mbunge wa Makunduchi, mama Samia Hassan Suluhu kuwa mgombea wake mwenza, ikiwa na maana kwamba ni yeye ndiye atakayekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania iwapo chama hicho kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ikiwa hivyo, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kukamata nafasi hiyo kubwa katika moja ya mihimili ya dola, serikali, akiwa ni mshauri mkuu wa Rais na namba mbili kwa uongozi...

 

9 years ago

StarTV

Dk. Magufuli, Samia Suluhu Hassan wakabidhiwa vyeti

Rais Mteule wa awamu ya tano Dokta John Pombe Magufuli na makamu wake Samia   Suluhu Hassan wamekabidhiwa vyeti vya ushindi wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hatua hiyo ni uthibitisho wa kuwa viongozi wakuu wa Taifa la Tanzania kwa mwaka 2015/2020.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC inatumia ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kukabidhi vyeti vya ushindi wa urais baada ya kukamilika kwa zoezi la uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015.

Mwenyekiti wa NEC Jaji mstaafu...

 

9 years ago

Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)

Samia Suluhu Hassan, Perfect Magufuli aide


Samia Suluhu Hassan, Perfect Magufuli aide
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
DESPITE being a hardworking leader, driven by passion to lead the nation driven by integrity, development, and defined systems…the factors that gave Dr John Pombe Magufuli's recent victory into power was also accorded by his decision to nominate a ...

 

9 years ago

StarTV

Samia Suluhu Hassan aanza kumnadi Magufuli Same

Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kampeni za kumnadi Mgombea Urais kupitia CCM Dokta John Pombe Magufuli na kueleza Ilani ya Chama hicho.

Mkutano wa kwanza wa mgombea huyo mwenza umeanzia katika Kijiji cha Hedaru wilayani Same mkoani Kilimanjaro ambapo wakazi wa kijiji hicho wamemweleza mgombea huyo tatizo la maji linalowakabili.

Samia Suluhu Hassan ameanza kampeni zake kwa kutembelea Hospitali ya Hedaru na kuangalia changamoto kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

Serikali ya Awamua ya Tano ni ya Viwanda - Samia Suluhu Hassan

Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akimtambulisha mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kawe, Kippi Warioba (kushoto) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akimtambulisha mgombea...

 

9 years ago

Mshale African Community Newspaper

Meet Samia Suluhu Hassan, Tanzania's first ever female vice president


Mshale African Community Newspaper
Meet Samia Suluhu Hassan, Tanzania's first ever female vice president
Mshale African Community Newspaper
Samia Suluhu Hassan was sworn in as Tanzania's vice-president on November 5, 2015. With her election, she became the country's first ever female vice president. Photo: Courtesy of Samia Suluhu Hassan. PrevNext ...
Samia Suluhu Hassan, Perfect Magufuli aideDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 3

 

9 years ago

Michuzi

Mama Samia Suluhu Hassan Afunika Mkutano wa Kampeni Kibaha

Kada wa CHADEMA  Bw. Nyakarungu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kukihama chama hicho na kwenda CCM na kuvalishwa sare za CCM.Msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu akizungumza na Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan  (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe, Seleman Said Jafo (kushoto) na katikati ni mgombea udiwani, Mwishehe Mlao mkoani Pwani, 


Mgombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani