Dk Mohamed Shein akemea wanaowagawa Watanzania
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaowagawa Watanzania kwa misingi ya udini, ukabila na itikadi za kisisa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania30 Apr
Dk. Shein akemea udini, ukabila
NA AMON MTEGA, RUVUMA
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka Watanzania wasigawanyike kwa masuala ya kidini na ukabila kwa kuwa wanaweza kuvuruga amani ya nchi.
Dk. Shein alitoa wito huo jana mjini Songea alipokuwa akizindua mbio za mwenge wa uhuru katika Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
“Kuna baadhi ya makundi yamekuwa yakifanya jitihada za kuwagawa Watanzania kwa kuingiza masuala ya udini na
wengine wanaanza kueneza ukabila.
“Mambo hayo tusiyaruhusu...
10 years ago
IPPmedia09 Jul
Zanzibar President, Dr Ali Mohamed Shein
IPPmedia
Eight former African presidents are expected to take part in a four-day regional conference on global peace leadership scheduled for Zanzibar later this month. The conference is expected to chart strategies aimed at reducing conflict, build social ...
10 years ago
Coastweek25 Aug
Zanzibar President Ali Mohamed Shein is seeking second term
Coastweek
DAR ES SALAM Tanzania (Xinhua) -- Zanzibar President Ali Mohamed Shein has collected presidential nomination forms on the ticket of the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM), seeking a second five-year term. Speaking shortly after he had collected ...
Confident Shein picks forms for top Isles postDaily News
all 4
10 years ago
Michuzi04 Jun
ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN- UJERUMANI


10 years ago
Michuzi
DR MOHAMED SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA HOTEL YA HYATT ZANZIBAR


11 years ago
Michuzi
Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na sheria


10 years ago
Michuzi
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein Afutarisha Mkanyageni, Pemba


10 years ago
Vijimambo
Hotuba Ya Dr Ali Mohamed Shein kukubali kuwa mgombea wa CCM 2015
