Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Nagu ahimiza jamii kukopa kwa maendeleo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amewataka wajasiriamali kukopa kwenye taasisi za fedha, kwani ndiyo njia ya kuwanyanyua kiuchumi na wafanyabiashara wengi wamenufaika nayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII

Na Mwandishi Wetu Arusha

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.

Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jamii yahimizwa fursa za kukopa

JAMII imeshauriwa kutumia fursa zinazopatikana kwenye taasisi za fedha, benki na nyinginezo kujipatia mikopo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha. Wito huo umetolewa na Meneja wa Benki ya Posta (TPB), tawi la Songea,...

 

11 years ago

Michuzi

Mitaji ya ubia chachu ya maendeleo–Dk. Nagu

Mitaji ya ubia imetajwa kama mpango unaoweza kuongeza nguvu katika miradi ya wafanyabishara nchini na kuchangia uchumi na ustawi wa jamii.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuwa kukubalika kwa mpango wa mitaji ya ubia ni moja ya utayari wa serikali katika kuweka mazingira ya kuifanya sekta binafsi kuwa injini ya uchumi hapa nchini. “Hiki ni chanzo mbadala cha mitaji ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

9 years ago

Habarileo

Mchungaji aasa jamii kutumia mtandao kwa maendeleo

MCHUNGAJI Hamza Kavenuke wa Kanisa la (EAGT) Kidete, Mufindi mkoani Iringa ametaka matumizi ya wastani ya mtandao ili kuleta maendeleo.

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…

 

10 years ago

Michuzi

FISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA

 Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa mitaani,katikati ni Mkurugenzi wa shirika hilo  Elisha Maghembe.Picha na Mahmoud Ahmad
.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani