Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein akutana na watendaji wa wizara ya Fedha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha katika mkutano wa siku moja uliozungumziautekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,

Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Omar Yussuf Mzee(hayupo pichani) alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na watendaji wizara ya Katiba na Sheria

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Katiba na Sheria na Idara zake wakimsikiliza Waziri Abubakar Khamis Bakary(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na watendaji Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kkulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango

IMG_6071

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.

IMG_6171

Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango. 

Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango

Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.  Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa viongozi kutekeleza majukumu waliyokabidhiwa na kuhakikisha bajeti ya Serikali inalenga vipaumbele vinavyogusa wananchi katika kutekeleza ahadi ya Serikali. Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akijadiliana na watendaji...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa robo mbili ya Julai-Disemba 2019/2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ikulu) Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalla Saadala (kushoto) pamoja na watendaji mbali mbali katika Wizara hiyo wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa robo...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii akutana na Watendaji wa Mkoa wa Katavi

Katibu Tawala Mkoa wa Katavi akimwongoza Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mama Anna Maembe wakati akikagua eneo la chuo cha maendeleo Msaginya wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani humo anaye mfuatia kushoto kwa Katibu Mkuu ni Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya Nsimbo Alex Magesa Na Mwisho mwenye SUTI YA kijivu ni Mkuu wa Chuo Msaginya Peter Kikunda ambaye ni mwenyeji akiwatembeza wageni. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na...

 

9 years ago

Michuzi

Jaji mkuu wa Tanzania akutana na watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

 Jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (wa tatu kutoka kulia) katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni, Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Alphayo Kidata akifuatiwa na Subira Sinda Msajili wa Hati. Nyuma ya Katibu Mkuu ni David Mushendwa Kamishna wa ardhi Msaidizi Sheria, Blasia Kibano (Wa kwanza kulia) aliyekuwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria pamoja na Juma Lughela.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Shein akutana na Waziri wa Fedha

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametoa changamoto kwa watendaji wa Wizara ya Fedha ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufanya kazi kwa ushirikiano kuleta maendeleo.

 

11 years ago

Michuzi

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa miezi 9 kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo. Uongozi wa Wizara ya Afya ukiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa miezi 9 kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani