Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango. Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa viongozi kutekeleza majukumu waliyokabidhiwa na kuhakikisha bajeti ya Serikali inalenga vipaumbele vinavyogusa wananchi katika kutekeleza ahadi ya Serikali.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akijadiliana na watendaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QhGXNrqWiBA/VnP_nxRthXI/AAAAAAADclE/VI-WBsLyEec/s72-c/721.jpg)
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji atembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
![](http://4.bp.blogspot.com/-QhGXNrqWiBA/VnP_nxRthXI/AAAAAAADclE/VI-WBsLyEec/s640/721.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-t7z6Paqip3Q/VnP_nx6fEKI/AAAAAAADclI/dV_mW9jiwPg/s640/731.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZydSXQraSrE/VnP__-6cs-I/AAAAAAADclU/JWNSBDoIl4E/s1600/index.jpeg)
9 years ago
Mwananchi20 Dec
NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: Dk Ashatu Kijaji – Naibu Waziri Fedha na Mipango
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-5dbQeGOiJrs/VOZKTVfrL_I/AAAAAAABlzA/KIJ7Umg0rw8/s72-c/IMG_6051.jpg)
Dk Shein akutana na watendaji wa wizara ya Fedha
![](http://1.bp.blogspot.com/-5dbQeGOiJrs/VOZKTVfrL_I/AAAAAAABlzA/KIJ7Umg0rw8/s640/IMG_6051.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Mh94OHyxqTg/VOZKIWe9SJI/AAAAAAABly4/SESCxCDETNg/s640/IMG_6025.jpg)
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Omar Yussuf Mzee(hayupo pichani) alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
5 years ago
MichuziMheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Hotuba ya Wizara bungeni Jijini Dodoma leo
DODOMA - 15 MEI, 2020
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB.), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WAKATI AKIWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NAMATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NAMIPANGO KWA MWAKA 2020/21
1.0 TANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z6TWxWPqoHY/VoH-WjUW8PI/AAAAAAAIPF0/DBTsjgJSnKo/s72-c/3db1384b-0a1c-4f01-b51c-b6b6da09d9bb.jpg)
Dkt. Mpango awaasa Watumishi Wizara ya Fedha na Mipango kufanya kazi kwa bidii ili kukuza uchumi wa nchi.
9 years ago
Press30 Dec
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.
Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...