Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk.Kijo-Bisimba: Haki za binadamu bado zinavunjwa

TANZANIA ni moja kati ya nchi zinazokabiliana na matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia, licha ya juhudi zinazofanyika ili kulinda haki za binadamu. Makala haya yanamuangazia mmoja kati ya wanawake...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Dk. Kijo Bisimba afanyiwa upasuaji

Dr-Helen-Kijo-BisimbaVeronica Romwald na Nicodemas Kikwati (GHITBS), Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijo Bisimba, amefanyiwa upasuaji wa mguu  wa kushoto.

Upasuaji huo umefanyika  katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI).

Akizungumza na MTANZANIA jana hospitalini hapo, Dk. Bisimba alisema alifanyiwa upasuaji huo  juzi jioni na   anaendelea vizuri na matibabu.

“Namshukuru Mungu naendelea vizuri, nimefanyiwa upasuaji na madaktari wameniwekea...

 

11 years ago

Mwananchi

Kijo-Bisimba adai wajumbe hawaaminiani

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen-Kijo Bisimba amepinga utaratibu wa upigaji wa kura katika kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya akisema wajumbe wengi hawaaminiani ndiyo maana kuna mvutano katika suala la kura.

 

9 years ago

Habarileo

Kijo-Bisimba anusurika kifo ajalini

MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Helen Kijo-Bisimba amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akitembelea kuacha njia na kupinduka jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

EU Wampa Tuzo Mama Helen- Kijo Bisimba

MAMA

Umoja wa Ulaya umemtunuku Mama Helen Kijo- Bisimba (pichani) kutokana na mchango wake kwa ajili ya kutetea na kulinda haki za binadamu nchiini.

Tuzo hiyo, ilitolewa juzi na EU siku ya Jumanne wiki hii jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mwaka  wa Maendeleo Ulaya  2015.

Balozi wa Umoja wa Ulaya bwana Filberto Sebregondi alitoa tuzo hizo na kusema kuwa lengo lake ni kusimamia haki kwenye masuala ya kiulimwengu ikiwemo  kupambana na umasikini na kuhamasisha raia kujihusisha na...

 

10 years ago

GPL

EU WAMPA TUZO MAMA HELEN- KIJO BISIMBA‏

Dr. Helen Kijo Bisimba akiwa ameshikilia tuzo yake Tuzo hiyo, ilitolewa juzi na EU siku ya Jumanne wiki hii jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mwaka  wa Maendeleo Ulaya  2015.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Ajali ya Mkurugenzi wa kituo cha LHRC, Dr. Hellen Kijo Bisimba yaibua maswali mitandao ya kijamii!

10989453_856894261097306_3195698131161374537_o

Picha ya ajali hiyo kama inavyoonekana (Picha kwa hisani ya mitandao ya kijamii).

[DAR ES SALAAM-TANZANIA]  Saa chache zilizopita imetokea ajali mbaya inayoelezwa kuwa mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC.Dr. Hellen Kijo Bisimba amekumbwa na ajali hiyo  na  kukimbizwa Hospital kwa matibabu zaidi.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo mtandao wa habari wa Jamiiforum (JF) umechapisha taarifa hiyo pamoja na picha na kueleza  kuwa  ajali imetokea Barabara ya Ali...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!

DSC_1095

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu   kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mariado na walimu iliyopo Usa River ,wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja waliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu barani Afrika katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyofanyika Oktoba 21 na kudai haki za wenye ulemavu wa ngozi(Ualibino) kulindwa kama wananchi wengine
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika.
Kamishna wa Tume...

 

9 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,AMJULIA HALI BI HELLEN KIJO BISIMBA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadam,Bi Hellen Kijo Bisimba aliyelazwa hospital ya Agakhan mapema leo kufuatia ajali ya gari aliyoipata mwishoni mwa wiki barabara ya Al-Hassan Mwinyi jijini Dar, Dkt Magufuli pia amefanya ziara ya kushtukiza katika hopsitali ya Taifa ya Muhimbili ikiwemo pia alitembelea wodi mbalimbali za wagonjwa na kuwajulia hali zao. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani