Ajali ya Mkurugenzi wa kituo cha LHRC, Dr. Hellen Kijo Bisimba yaibua maswali mitandao ya kijamii!
Picha ya ajali hiyo kama inavyoonekana (Picha kwa hisani ya mitandao ya kijamii).
[DAR ES SALAAM-TANZANIA] Saa chache zilizopita imetokea ajali mbaya inayoelezwa kuwa mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC.Dr. Hellen Kijo Bisimba amekumbwa na ajali hiyo na kukimbizwa Hospital kwa matibabu zaidi.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo mtandao wa habari wa Jamiiforum (JF) umechapisha taarifa hiyo pamoja na picha na kueleza kuwa ajali imetokea Barabara ya Ali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-azfiwlfwiR8/VkCTr4Wqs0I/AAAAAAADB_8/6bL25eYMV6M/s72-c/12234865_10153753965789345_196551622758800344_n.jpg)
NEWZ ALERT: MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,AMJULIA HALI BI HELLEN KIJO BISIMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-azfiwlfwiR8/VkCTr4Wqs0I/AAAAAAADB_8/6bL25eYMV6M/s640/12234865_10153753965789345_196551622758800344_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y2r0DsKUBfY/VkCTr16J0EI/AAAAAAADCAA/yk_PYas6NTE/s640/12191789_10153753961434345_7995332351857206451_n.jpg)
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Dk. Kijo Bisimba afanyiwa upasuaji
Veronica Romwald na Nicodemas Kikwati (GHITBS), Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijo Bisimba, amefanyiwa upasuaji wa mguu wa kushoto.
Upasuaji huo umefanyika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI).
Akizungumza na MTANZANIA jana hospitalini hapo, Dk. Bisimba alisema alifanyiwa upasuaji huo juzi jioni na anaendelea vizuri na matibabu.
“Namshukuru Mungu naendelea vizuri, nimefanyiwa upasuaji na madaktari wameniwekea...
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Mkurugenzi LHRC apata ajali Dar
9 years ago
Habarileo09 Nov
Kijo-Bisimba anusurika kifo ajalini
MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Helen Kijo-Bisimba amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akitembelea kuacha njia na kupinduka jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Kijo-Bisimba adai wajumbe hawaaminiani
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
EU Wampa Tuzo Mama Helen- Kijo Bisimba
Umoja wa Ulaya umemtunuku Mama Helen Kijo- Bisimba (pichani) kutokana na mchango wake kwa ajili ya kutetea na kulinda haki za binadamu nchiini.
Tuzo hiyo, ilitolewa juzi na EU siku ya Jumanne wiki hii jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mwaka wa Maendeleo Ulaya 2015.
Balozi wa Umoja wa Ulaya bwana Filberto Sebregondi alitoa tuzo hizo na kusema kuwa lengo lake ni kusimamia haki kwenye masuala ya kiulimwengu ikiwemo kupambana na umasikini na kuhamasisha raia kujihusisha na...
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Dk.Kijo-Bisimba: Haki za binadamu bado zinavunjwa
TANZANIA ni moja kati ya nchi zinazokabiliana na matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia, licha ya juhudi zinazofanyika ili kulinda haki za binadamu. Makala haya yanamuangazia mmoja kati ya wanawake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmzMTYu1xzYIuoQ0zDlBeMlX8j*wL3TS66BDx6StZrATSB6qZrumyvAKC4vBqyKeUzEN88TN-r5-Fs9yF6vgi50Z/ImageProxy.jpg?width=650)
EU WAMPA TUZO MAMA HELEN- KIJO BISIMBA
11 years ago
Dewji Blog23 Jul
NHC yakanusha taarifa za upotashaji zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii na gazeti kuhusiana na Mkurugenzi wa Shirika hilo
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe akisoma taarifa ya shirika hilo kukanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu Kyando ameundiwa zengwe na baadhi ya wabunge ili aondolewe katika shirika hilo, wanaofuaia katika picha ni Muungano Saguya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii, Bw. Martin Mdoe Mkuu wa Kitengo cha Sheria na Benedict Kilimba Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki