Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk.Shein Afungua Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Hawa Abdulrahman Ghasia alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Mangapwani Mkoa wa Kaskazi/ni B Unguja leo alipofika kufungua semina ya Viongozi wa Juu Mikoa na Wilaya za Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Semina ya wakuu wa Mikoa na Wilaya Bara na Visiwani yamalizika Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji katika Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja. Baadhi ya Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.” Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AFUNGUA SEMINA YA MATEKEO MAKUBWA NA YA HARAKA,IKULU ZANZIBAR LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayoshuhulikia utafiti katika ufumbuzi wa matekeo makubwa na ya haraka Bw.Omari Issa kutoka Tanzania Bara wakati alipokuwa akitoa mada yake wakati wa semina ya siku moja kuhusu matokeo makubwa na ya haraka katika kuleta mageuzi ya kiuchumi na kuleta maendeleo nchini iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akiwa Mwenyekiti wa Semina hiyo.Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WAPYA WA WILAYA,MJINI DODOMA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya wakuu wa wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hosteli ya St.Gaspar mjini Dodoma leo jioni.Kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa na kulia ni Naibu waziri TAMISEMI Mh.Aggrey Mwanri. Baadhi ya wakuu wa wilaya wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo kwa wakuu wapya wa wilaya mjini Dodoma leo...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA ,MJINI DODOMA LEO

Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Siku mbili wa Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa hapa Nchini.Mkutano huu wa siku Mbili unafanyika katika Hoteli ya St.Gaspar Mjini Dodoma unawashirikisha pia Manaibu makatibu wakuu wa Wizara zote.Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa Hapa Nchini wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akifungua Mkutano wa siku Mbili wa watendaji hao katika Hoteli ya St.Gaspar Mjini Dodoma. Na...

 

9 years ago

CCM Blog

BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam


Baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Dk. Shein aapisha mawaziri, wakuu wa mikoa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein jana aliwaapisha mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya waliopewa majukumu mapya.

 

9 years ago

Mwananchi

JKT yalalamikia wakuu wa wilaya,mikoa kukwamisha maendeleo

Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa(Suma JKT) limewataja baadhi ya wafanyakazi wa serikali wakiwamo wakuu wa mikoa,wilaya na wabunge  kuwa miongoni  mwa wadaiwa wanaokwamisha mradi  wa matrekta kwa ajili ya Kilimo Kwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani