DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA KANDA YA KASKAZIN, JIJINI KAMPALA UGANDA
![](http://2.bp.blogspot.com/-fb7PKacJ0Yc/Uwb8aBJR1CI/AAAAAAAFOic/IZKQHLEyFSQ/s72-c/unnamed1.jpg)
Makamu wa Rais Dkt Bilal (katikati) akizungumza na Rais wa Uganda Yower Museven (kulia) kabla ya Mkutano huo.
Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika jana kwenye Hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala Uganda, ambapo Tanzania imeshiriki Mkutano huo kama Mwalikwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-c_1PntO5YdU/VRSxVqHRRRI/AAAAAAADduc/67DamhO1h4s/s72-c/a3.jpg)
Rais Kagame ahudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati jijini Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-c_1PntO5YdU/VRSxVqHRRRI/AAAAAAADduc/67DamhO1h4s/s1600/a3.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Zba7yLPKyL0/VRSxXQoD2tI/AAAAAAADdu4/wZL2h7J3--4/s1600/a5.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-tioGUdcS0-0/VRQsvmVF5hI/AAAAAAAHNeE/7GUe-8dmkOA/s72-c/a3.jpg)
Rais Kagame ahudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati jijini Dar es salaam leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-tioGUdcS0-0/VRQsvmVF5hI/AAAAAAAHNeE/7GUe-8dmkOA/s1600/a3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-v3HQj9E_Jss/VRQsx0PSnYI/AAAAAAAHNec/xrz5KDWT2bs/s1600/a5.jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya nchi za G77 na China Jijini Santa Cruz, Bolivia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokewa na wenyeji wake wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bolivia Juni 13, 2014 kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Nchi za G 77 na China, yanayofanyika leo Juni 15, 2014, jijini Santa Cruz, Bolivia. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Meya wa Jiji la Santa Cruz, Percy Fernandez, wakati alipowasili kwenye...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/--wr-0EkKM8I/VC5swFvyc6I/AAAAAAADG5o/NW2Nx1VaMf0/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA KONGAMANO LA BIASHARA LA KIMATAIFA KWA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DUBAI, FARME ZA KIARABU
![](http://2.bp.blogspot.com/--wr-0EkKM8I/VC5swFvyc6I/AAAAAAADG5o/NW2Nx1VaMf0/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-INlvWxbsZHo/VC5tHVuGDTI/AAAAAAADG54/4WKYfNw25FU/s1600/4.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Oct
Makamu wa rais Dkt. Bilal ahudhuria kongamano la biashara la kimataifa kwa nchi za Afrika jijini Dubai, falme za kiarabu
Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika, Bw. Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. (Picha na OMR).
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.
10 years ago
Dewji Blog30 Nov
Dkt. Bilal aiwakilisha Tanzania katika mkutano wa 3 wa wakuu wa nchi za Afrika mashariki (EAC) jijini Nairobi, Kenya
Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana Novemba 29, 2014 aliiwakilisha Tanzania katika mkutano wa siku moja wa Wakuu wa Nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OvILUXW7eKQ/VHq_ofggGgI/AAAAAAACvlE/ve302F_TY_4/s72-c/12.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 3 WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI (EAC) KUHUSU MIUNDOMBINU JIJINI NAIROBI, KENYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-OvILUXW7eKQ/VHq_ofggGgI/AAAAAAACvlE/ve302F_TY_4/s1600/12.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MsAjCqRSvvM/VjRzJ7b5AoI/AAAAAAAIDx0/K26UkBA3mAw/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA CHI ZA AFRIKA NA INDIA NEW DELHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-MsAjCqRSvvM/VjRzJ7b5AoI/AAAAAAAIDx0/K26UkBA3mAw/s640/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-FfuT-nEb1O8/VjRzJuF0ewI/AAAAAAAIDxw/NgyiF3dstTc/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg)