Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt Bilal apiga kura Kiembesamaki, Zanzibar

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihakikiwa kabla ya kutimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani  kwenye kituo cha kupigia kura  namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitimiza wajibu wake wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI MDOGO WA UWAKILISHI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki kupiga kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki katika uchaguzi mdogo, uliofanyika leo mjini Zanzibar. Kushoto ni Mgombea wa Jimbo hilo, Mahmoud Thabit Kombo. Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa uanachama...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli apiga kura chato

 Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kupiga kura huko kijijini kwake Chato mkoani Geita leo  Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga kura yakeMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Joseph Magufuli akikunja vizuri karatasi baada ya kupiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Baadhi ya Viongozi wa juu wa Serikali, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, marehemu Salmin Awadh Salmin, huko Makunduchi mjini Zanzibar. Marehemu Salmin amezikwa leo Feb, 20, 2015 kijijini kwake Makunduchi Zanzibar.Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akiweka udongo katika kaburi la marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa shughuli za maziko yake zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi mjini Zanzibar jana Feb, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

MCHAKATO KURA ZA MAONI CCM ZANZIBAR: Vuai Nahodha, Prof. Mnyaa, Dkt. Mwinyi, Saada Mkuya, Dkt. Mwinyihaji Makame, Haji Omari Kheri, waibuka kidedea

 MCHAKATO wa kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa CCM Zanzibar watakaowania nafasi za  Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawawakilishi (BLW) na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, uliofanyhika jana (Agosti 01, 2015) mikoani mote.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Afisi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe. Vuai Ali Vuai, imesema kuwa matokeo ya kinyang’anyiro hicho, yameoonyesha baadhi ya vigogo waliokuwa wakitegemewa kuibuka na ushindi...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MSIKITI KIBOJE UWANDANI ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi wa kijiji cha kiboje uwandani alipowasili katika kijiji hicho leo Februari 2-2014 kwa ajili ya kufungua msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliojengwa na baadhi ya wafadhili kwa kushirikiana na Muwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohammed Raza. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kiembesamaki na kura za maruhani

>Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar umeacha maswali kadhaa, ikiwamo imekuwaje idadi ya wapigakura imepungua zaidi ya nusu ya walioandikishwa katika Uchaguzi Mkuu 2010?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani