Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiembesamaki na kura za maruhani

>Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar umeacha maswali kadhaa, ikiwamo imekuwaje idadi ya wapigakura imepungua zaidi ya nusu ya walioandikishwa katika Uchaguzi Mkuu 2010?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Dkt Bilal apiga kura Kiembesamaki, Zanzibar

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihakikiwa kabla ya kutimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani  kwenye kituo cha kupigia kura  namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitimiza wajibu wake wa...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Wananchi Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar wakiangalia majina yao kujua vituo vyao walivyopangiwa kupiga kura leo asubuhi. Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
HABARI kutoka Zanzibar zinasema uchaguzi mdogo wa uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki kisiwani humo unaendelea vizuri na wapiga  kura wengi wamejitokeza kwenda kutimiza haki yao ya kimsingi. Ulinzi umeimarishwa katika vituo vya kupigia kura. Mwandishi wetu wa huko anasema jana...

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI MDOGO WA UWAKILISHI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki kupiga kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki katika uchaguzi mdogo, uliofanyika leo mjini Zanzibar. Kushoto ni Mgombea wa Jimbo hilo, Mahmoud Thabit Kombo. Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa uanachama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maruhani yamtesa Batuli

NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

SIKU YA MARUHANI ("Halloween") DUNIANI

Na Swahilivilla blog.  Washington D.CJana ililkuwa ni "Siku ya Maruhani" nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama "Halloween" husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia ndefu.Siku ya Maruhani ilianzia huko barani Ulaya kiasi miaka 2,000 iliyopita ikifungamana na imani za kishirikina. Wazungu walipoyavamia mabara ya Amerika walihamia pia na utamaduni mila, desturi, dini, na silka zao - na sema upendavyo. Miongoni mwa hayo ilikuwa ndiyo hii siku ya Maruhani ambayo jina lake la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Fahamu chimbuko la siku ya Maruhani “Halloween”

Na Swahilivilla blog. Washington D.C   Jana ililkuwa ni “Siku ya Maruhani” nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama “Halloween” husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia ndefu.   Siku ya Maruhani ilianzia huko barani Ulaya kiasi miaka 2,000 iliyopita ikifungamana na imani za kishirikina. Wazung walipoyavamia mabara ya Amerika walihamia pia na utamaduni mila, desturi, dini, na silka zao – na sema upendavyo. Miongoni mwa hayo ilikuwa ndiyo hii siku ya Maruhani ambayo jina lake la...

 

11 years ago

GPL

HAFSA KAZINJA ABADILI DINI, KISA MARUHANI

Stori: Hamida Hassan Mwanamuziki Hafsa Kazinja anayetamba na Wimbo wa Mlala Nje huku video yake ikiwa tayari, ameamua kuikacha dini yake ya Kiislam na kuhamia kwenye Ukristo.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Hafsa alisema alifikia uamuzi huo baada ya kusumbuliwa na maruhani ambayo yalimfanya arukwe na akili. Mwanamuziki Hafsa Kazinja. “Niliumwa sana hadi ikaonekana nimerukwa na akili, maruhani ndiyo yaliyokuwa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

KIEMBESAMAKI SHAGHLA BAGALA

Jimbo la Kiemnbe-Samaki kuna mkanganyiko baada baadhi ya wapiga kura kushindwa kupiga kura za uwakilishi na wabunge kutokana na karatasi za kura za mwakilishi na Mbunge kuonesha mgombea wa jimbo la Chukwani badala za Kiembesamaki. Baadhi […]

The post KIEMBESAMAKI SHAGHLA BAGALA appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani