SIKU YA MARUHANI ("Halloween") DUNIANI
Na Swahilivilla blog. Washington D.CJana ililkuwa ni "Siku ya Maruhani" nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama "Halloween" husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia ndefu.Siku ya Maruhani ilianzia huko barani Ulaya kiasi miaka 2,000 iliyopita ikifungamana na imani za kishirikina. Wazungu walipoyavamia mabara ya Amerika walihamia pia na utamaduni mila, desturi, dini, na silka zao - na sema upendavyo. Miongoni mwa hayo ilikuwa ndiyo hii siku ya Maruhani ambayo jina lake la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Fahamu chimbuko la siku ya Maruhani “Halloween”
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Maruhani yamtesa Batuli
NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Kiembesamaki na kura za maruhani
10 years ago
CloudsFM01 Dec
LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI
Nchini mwetu, ugonjwa huo uliogundulika kwa mara ya kwanza mwaka 1981 mkoani Kagera, umesambaa katika mikoa yote, umekuwa sababu ya maafa mengi makubwa kwenye jamii ambako mbali ya vifo, umetuachia yatima, wajane na wagane.
Takwimu zinazotolewa zinaonyesha kuwa maambukizi mapya yamekuwa yakipungua kwa kiasi kikubwa, ingawa hali halisi ni...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8J9biUL89pI/VNXVSYiXkHI/AAAAAAAHCUA/ao7A5CXDsyQ/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-smDI7_mtkD8/VTjWTQ1_l4I/AAAAAAAHSwY/ae4dwm_KJkI/s72-c/K.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuullD5aA2m0gU3d9JEfMV5gqkDEcEt6oC5Mb9ex-2*8BWRFGBAWegHZS051uSD7bj8fX5FdDCnKwS0vG6Ed*ny0-R/K.jpg?width=650)
11 years ago
Dewji Blog12 Aug