Fahamu chimbuko la siku ya Maruhani “Halloween”
Na Swahilivilla blog. Washington D.C Jana ililkuwa ni “Siku ya Maruhani” nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama “Halloween” husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia ndefu. Siku ya Maruhani ilianzia huko barani Ulaya kiasi miaka 2,000 iliyopita ikifungamana na imani za kishirikina. Wazung walipoyavamia mabara ya Amerika walihamia pia na utamaduni mila, desturi, dini, na silka zao – na sema upendavyo. Miongoni mwa hayo ilikuwa ndiyo hii siku ya Maruhani ambayo jina lake la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi01 Nov
SIKU YA MARUHANI ("Halloween") DUNIANI
10 years ago
Bongo501 Nov
Halloween ni sherehe gani? Tunaweza kusherehekea pia? Fahamu ukweli juu yake
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Lamar Odom apata fahamu siku 3 baadaye
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
MAKALA: Unamkumbuka Nyamayao? Basi fahamu alipo siku hizi na shughuli anazofanya
Ni yule staa wa kundi la Kaole Sanaa Group, anakiri kwamba shule, familia vilimweka mbali na sanaa ya maigizo.
Dar es Salaam. Kama ulibahatika kutazama tamthilia miaka ya 1990 - 2003, basi jina la Nyamayao na Kibakuli siyo geni masikioni mwako na hata sura zao.
Watoto hawa wawili walikuwa wanaunda familia ya Mhogo Mchungu. Ni familia iliyokuwa na visa vingi hasa baada ya Mhogo Mchungu kutaka kumuoza Nyamayao ilhali alikuwa bado kigori. Hadithi hii ninaikumbuka pindi ninapokutana ana kwa...
11 years ago
Bongo525 Jul
Rapper Baghdad kutoa mkwanja kila siku kwa mashabiki wake, fahamu mchakato ulivyo
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Maruhani yamtesa Batuli
NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Kiembesamaki na kura za maruhani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO53m4KjrwMEWPwpiA0QYGK3piaG5zN8fC-nRlodekeUCYkDu*auBe7Got8GPwGdl2k61uIWS*QOauElKCB9*5ms/hafsa.jpg)
HAFSA KAZINJA ABADILI DINI, KISA MARUHANI
10 years ago
Dewji Blog13 Oct
BEAUTY: Halloween Lips!
Makeup isn’t just for cosmetics – in the right hands, it can be just as valid an artistic medium as paint or ink. When Spanish makeup artist and photographer Eva Senín Pernas gets her hands on a makeup brush, she can create spooky and elegant lip makeup art perfect for almost any Halloween costume idea.
Given the season, we’ve focused on Pernas’ Halloween- or costume-related art, which will definitely inspire you to start thinking about creepy or creative Halloween costumes. But the...