Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIEMBESAMAKI SHAGHLA BAGALA

Jimbo la Kiemnbe-Samaki kuna mkanganyiko baada baadhi ya wapiga kura kushindwa kupiga kura za uwakilishi na wabunge kutokana na karatasi za kura za mwakilishi na Mbunge kuonesha mgombea wa jimbo la Chukwani badala za Kiembesamaki. Baadhi […]

The post KIEMBESAMAKI SHAGHLA BAGALA appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kiembesamaki na kura za maruhani

>Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar umeacha maswali kadhaa, ikiwamo imekuwaje idadi ya wapigakura imepungua zaidi ya nusu ya walioandikishwa katika Uchaguzi Mkuu 2010?

 

10 years ago

Vijimambo

Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki

mansour-yussuf-himidSARAH MOSSI NA IS-HAKA HASSAN, ZANZIBAR
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Kiembesamaki

>Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemtangaza Mahmoud Thabit Kombo (CCM), kuwa mshindi wa uwakilishi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki uliofanyika jana mjini Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwakilishi wa Kiembesamaki aapishwa Z’bar

>Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho jana amemwapisha Mahmoud Thabit Kombo kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi mdogo uliofanyika Febuari 2 visiwani humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe kuzindua kampeni Kiembesamaki

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anatarajiwa kufungua rasmi kampeni za uchaguzi mdogo wa kuwania nafasi ya uwakilishi kwenye Jimbo la Kiembesamaki,  ambapo pia atamnadi mgombea...

 

10 years ago

Mtanzania

Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki

mansour-yussuf-himidSARAH MOSSI NA IS-HAKA HASSAN, ZANZIBAR
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wa Wanamapinduzi watambiana kuwania Kiembesamaki

Wiki iliyopita mtoto wa muasisi wa ASP, Mansoor Yussuf Himid alitangaza kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kuondolewa CCM kwa tuhuma za kukiuka maadili.

 

11 years ago

Habarileo

Wawakilishi CCM washangilia ushindi wa Kiembesamaki

Mahmoud Thabiti KomboWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi kutoka CCM wameshangilia ushindi wa chama hicho katika jimbo la Kimbesamaki kupitia mgombea wake, Mahmoud Thabiti Kombo.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI MADAWATI 45 KIEMBESAMAKI

*Aahidi kuchangia madawati 135 na viti vyake
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameahidi kuchangia madawati 135 na viti vyake kwenye shule ya msingi Kiembesamaki iliyoko wilaya ya Magharibi mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni mwitikio wa maombi aliyopewa na shule hiyo.
Ametoa ahadi hiyo jana (Jumamosi, Mei 2, 2015), wakati akikabidhi msaada wa madawati 45 na viti vyake yenye thamani ya sh. milioni 3.83/- yaliyotolewa na kampuni ya Jambo Plastics ya Dar es Salaam ili kupunguza uhaba wa madawati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani