Mbowe kuzindua kampeni Kiembesamaki
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anatarajiwa kufungua rasmi kampeni za uchaguzi mdogo wa kuwania nafasi ya uwakilishi kwenye Jimbo la Kiembesamaki, ambapo pia atamnadi mgombea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
KIEMBESAMAKI SHAGHLA BAGALA
Jimbo la Kiemnbe-Samaki kuna mkanganyiko baada baadhi ya wapiga kura kushindwa kupiga kura za uwakilishi na wabunge kutokana na karatasi za kura za mwakilishi na Mbunge kuonesha mgombea wa jimbo la Chukwani badala za Kiembesamaki. Baadhi […]
The post KIEMBESAMAKI SHAGHLA BAGALA appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Kiembesamaki na kura za maruhani
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Mwakilishi wa Kiembesamaki aapishwa Z’bar
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki
![mansour-yussuf-himid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/mansour-yussuf-himid-214x300.jpg)
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki
SARAH MOSSI NA IS-HAKA HASSAN, ZANZIBAR
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...
11 years ago
Mwananchi03 Feb
CCM yaibuka kidedea Kiembesamaki
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Watoto wa Wanamapinduzi watambiana kuwania Kiembesamaki
11 years ago
Habarileo16 Jan
Hekaheka uchaguzi mdogo Kiembesamaki zaanza
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeanza kutoa fomu kwa ajili ya wagombea wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Kiembesamaki, utakaofanyika Februari 2, mwaka huu.
11 years ago
Habarileo04 Feb
Wawakilishi CCM washangilia ushindi wa Kiembesamaki
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi kutoka CCM wameshangilia ushindi wa chama hicho katika jimbo la Kimbesamaki kupitia mgombea wake, Mahmoud Thabiti Kombo.