Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawakilishi CCM washangilia ushindi wa Kiembesamaki

Mahmoud Thabiti KomboWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi kutoka CCM wameshangilia ushindi wa chama hicho katika jimbo la Kimbesamaki kupitia mgombea wake, Mahmoud Thabiti Kombo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

News alert: CCM yachukua tena Jimbo la Kiembesamaki Yaibuka na Ushindi wa Asilimia 75.1

Mgombea wa Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameibuka Kidedea kwa ushindi alioupata katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo baada ya kukaa wazi kwa muda mrefu kutokana na kutenguliwa kwa aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Mhe. Mansoor Yussuf Himid.   Akitangaza matokea hayo ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki yalioshirikisha Vyama Sita vya Siasa vilivyosimamisha wagombea wake. Msimamizi wa Uchaguzi Ndg. Suluhu akitoa...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Kiembesamaki

>Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemtangaza Mahmoud Thabit Kombo (CCM), kuwa mshindi wa uwakilishi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki uliofanyika jana mjini Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM wamteua Kombo kuwania uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki

 Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Mahmoud Thabit Kombo, kuwa mgombea wa kiti cha uwakilishi katika Jimbo la Kiembesamaki.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM: Ushindi jukwaani 30% tu

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na CCM vinaonekana kushindana kujaza watu kwenye mikutano yao ya kampeni, lakini chama hicho tawala kimesema ushindi wa jukwaani ni asilimia 30 tu.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Ushindi 90% CCM waibe 10

0D6A9052SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu wa zamani ambaye pia ni mgombea urais kwa mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka wananchi kuhamasishana na kumpigia kura ili apate ushindi wa asilimia 90.

Alisema akipata ushindi huo na hata kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiiba asilimia 10 ya kura zake, bado Ukawa watabaki na asilimia 80 ambao ni ushindi mzuri.

Akizungumza na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa makao makuu ya Chama cha...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM tayari ishapanga ushindi

CCM tayari wameshapanga ushindi wa urais mwaka huu, fawahisha (waziwazi) wanasema kuwa watashinda hata kwa bao la mkono. Gazeti la Mwananchi limelidadavua “bao la mkono” kuwa ni lile goli lililofungwa kwa kuupiga mpira kwa mkono kinyume na taratibu za mpira, lakini hukubaliwa kwa kuwa mwamuzi anakuwa hajaona.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAGUO LA CCM - UMOJA NI USHINDI


John Pombe Magufuli ni moja kati ya waliochukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi ya kupitishwa kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu mwezi oktoba kupitia tiketi ya chama hicho.Magufuli ni miongoni mwa waliotajwa tano bora za urais CCMDar es Salaam. Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.
Bila makeke, majivuno...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani