Dkt. John Pombe Magufuli aipasuapasua Chadema Arusha, asema “Nitamuenzi Sokoine vita ya ufisadi”
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati akiwaomba wananchi wa jiji hilo kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika nchini kote na kushirikisha vyama mbalimbali vya kisiasa.
Amesema Mara atakapochaguliwa na kuongoza taifa la Tanzania serikali yake itamuenzi Wazriri...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziDKT JAKAYA KIKWETE NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI JIJINI MWANZA MCHANA HUU KUHITIMISHA SHUGHULI ZA KAMPENI
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Rais ni Dkt. John Pombe Magufuli
Ni muda mfupi uliopita baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rasmi Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli aliyepata 58.46% dhidi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa 39.97%.
Modewji blog inatoa pongezi kwa Mgombea mweza Mama Samia Suluhu Hassan kwa ushindi huo.
Happy Birthday to you…. Mheshimiwa Rais uwe na siku njema ikiwa leo pia unasheherekea siku...
9 years ago
Michuzi9 years ago
GPLHAPPY BIRTHDAY DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
10 years ago
MichuziNEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM
9 years ago
MichuziMrema ampigia debe Dkt John Pombe Magufuli
9 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziCCM DMV, MAREKANI, YAMPONGEZA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI