Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT Mwakyembe alivyonguruma Njombe

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DKT. MWAKYEMBE AKUTANA NA WADAU WA BANDARI DAR

Massawe akimkaribisha Dkt. MwakyembeWaziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza na wadau wa sekta ya bandari kwenye mkutano uliofanyika leo Jumanne Desemba 30, 2014 kwenye ofisi ya meneja wa bandari ya Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kutathmini huduma za bandari na utekelezaji wa matokeo makubwa sasa kwa mwaka 2014. Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwakyembe aliipongeza Mamlaka ya bandari kwa kazi nzuri ya utoaji huduma uliopelekea ongezeko la mizigo ingawa hata hivyo aliwajia...

 

5 years ago

Michuzi

“WELEDI NA KUJITUMA NDIO NGUZO YA MAFANIKIO”-DKT MWAKYEMBE

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo la televisheni kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya utangazaji mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe lililotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Korea ambapo amesema kwa sasa jengo hilo ujenzi wake umefikia 20%.
Waziri wa Habari Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa studio ya...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

DKT. MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP)



Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ikiwemo majumuisho ya ziara yake aliyoifanya hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Bwana Amon Mpanju, leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi wa mashtaka Biswalo Mganga akieleza mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

Ujumbe wa Timu ya Pamba wamtembelea Waziri Dkt. Mwakyembe jijini Dodoma

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza kundi B Aleem Alibah (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini Mwanza Stanslaus Mabula.  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokea Jezi ya Timu ya Pamba ya jijini Mwanza kutoka kwa...

 

9 years ago

Michuzi

SUALA LA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI LINAFANYIWA KAZI - DKT. MWAKYEMBE

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi linafanyiwa kazi na kwamba muda sio mrefu ujao taarifa juu ya hatua zilizofikiwa itatangazwa. Dkt.Mwakyembe ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), na kutanabahishwa kwamba suala la mahakama hiyo linafanyiwa kazi kwa karibu na ofisi yake kutokana na ahadi ya Rais Dk.John Pombe Magufuli wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani