Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT.MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA 350 HUKO MARA, AFUNGUA KOMBE LA LUGOLA

Katika ziara yake Mkoani Mara Dkt.Magufuli alifanya ziara Kijiji cha Mwibara (M/Kiti - TLP), Kata ya Mwibara (Diwani-TLP) Jimbo la Mwibara (Mbunge - CCM). Akiwa katika kijiji cha Mwibara alifungua kombe la Kangi Lugola kisha kuhutubia wananchi. Kwa upendo M/Kiti na Diwani wa kata ya Mwibara wote kutoka TLP- walimzawadia Mbuzi wawili. Aidha, Magufuli aliweza kuzoa wanachama wapya zaidi ya 200 kata ya Mwibara na akafanya mkutano kata jirani ya Iramba na kuzoa wanachama wengine zaidi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO, GEITA

   Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jana jioni katika viwanja vya Mji mdogo wa Muganza, wilayni Chato Mkoani Geita, Mh. Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.   Dkt. Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM. Mh. Magufuli...

 

10 years ago

Dewji Blog

Magufuli azoa wanachama wapya alipokuwa akiwashukuru na kuwaaga wakazi wa Muganza wilayani Chato leo


Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayani Chato Mkoani Geita, Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA ALIPOKUWA AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO LEO

   Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa azoa wanachama wapya wa CCM 323 wilayani Bariadi

IMG_2727

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Jerry Silaa katika siku ya nane ya ziara yake jana amezoa wanachama wapya 323 kwenye kitongoji cha Imalilo kata ya Bunamhala wilayani Bariadi. unnamed (1) unnamed (2) unnamed (3)

 

 

9 years ago

Vijimambo

DKT. BILAL ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MARA HUKO BUTIAMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika ButiamaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AVUNA WANACHAMA WAPYA 376 KATIKA VIJIJI VITATU

Mbunge wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kujiunga na chama hicho mara baada ya Mbunge huyo kufanya Mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Nyabugela, kata ya Mganza katika Wilaya ya Chato leo. Mbunge wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kihutubia mamia ya wakazi wa kata ya Mganza katika Wilaya ya Chato leo. Wananchi wa Kata ya Mganza...

 

11 years ago

Michuzi

Magufuli ameendeleza wimbi la kuzoa wanachama wapya wilayani chato

Waziri wa Ujenzi Mh.John Pombe Magufuli ameendeleza wimbi la kuzoa wanachama wa CHADEMA hasa katika kata zinazoongozwa na Madiwani wa CHADEMA. Awamu hii amekomba wanachama wapatao 98 eneo la Mganza (Kasenda) na wanachama 160 eneo la Mganza (Katemwa) yote kata ya Mganza wilaya ya Chato.   Mh.Maduka Diwani wa CHADEMA Kata ya Mganza Wilaya ya Chato akimpongeza Mh.Magufuli baada ya Magaufuli kuzoa wanachama wa CHADEMA wapato 258. Wanachama Wapya wakiorodheshwa ili kuapishwa na kugawiwa kadi

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi, Katibu Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILALI AFUNGUA Mkutano wa 45 wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA Africa Region)

 Wajumbe wa Mkutano wa 45 wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA Africa Region) wakiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania kabla ya Ufunguzi wa Mkutano huo jana. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhruri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohammed Ghalib Bilal.  Makamu wa Rais wa Jamhruri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohammed Ghalib Bilal akifungua Mkutano wa 45 wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani