Magufuli ameendeleza wimbi la kuzoa wanachama wapya wilayani chato
.jpg)
Waziri wa Ujenzi Mh.John Pombe Magufuli ameendeleza wimbi la kuzoa wanachama wa CHADEMA hasa katika kata zinazoongozwa na Madiwani wa CHADEMA. Awamu hii amekomba wanachama wapatao 98 eneo la Mganza (Kasenda) na wanachama 160 eneo la Mganza (Katemwa) yote kata ya Mganza wilaya ya Chato. Mh.Maduka Diwani wa CHADEMA Kata ya Mganza Wilaya ya Chato akimpongeza Mh.Magufuli baada ya Magaufuli kuzoa wanachama wa CHADEMA wapato 258.
Wanachama Wapya wakiorodheshwa ili kuapishwa na kugawiwa kadi
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO, GEITA
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Magufuli azoa wanachama wapya alipokuwa akiwashukuru na kuwaaga wakazi wa Muganza wilayani Chato leo

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayani Chato Mkoani Geita, Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa...
10 years ago
Michuzi
MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA ALIPOKUWA AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO LEO


11 years ago
Mwananchi28 Dec
CCM yazoa wanachama wapya wilayani Temeke
10 years ago
Dewji Blog15 Nov
Jerry Silaa azoa wanachama wapya wa CCM 323 wilayani Bariadi



5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AHANI MSIBA WA DADAKE WILAYANI CHATO


11 years ago
MichuziMAGUFULI AVUNA WANACHAMA WAPYA 376 KATIKA VIJIJI VITATU
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI KASULU LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI NA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA 500



11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT.MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA 350 HUKO MARA, AFUNGUA KOMBE LA LUGOLA