DMV ALL STARS WATUA VOA
Sunday na Ebreezy, Domi, Aj Ubao na Prince Heri.Jiandae kusikiliza mahojiano yao katika Jukwaa la Vijana la VOA.
Aj Ubao na Domi wakijiandaa kupiga acapella.
San Tized na Prince Heri katika acapella. Kwa picha zaidi ungana na www.sundayshomari.com
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTAIFA STARS WATUA WINDHOEK, NAMIBIA
Kikosi cha Stars. Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Timu imefikia hoteli ya Safari jijini...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Malawi watua kuiongezea makali Stars
WAKATI timu ya Taifa ya Malawi ‘The Flames’ ikiwasili jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kiingilio cha chini cha mechi...
10 years ago
Vijimambo28 Oct
VOA YAZINDUA MATANGAZO YA ALASIRI VOA EXPRESS.
![IMG_5776](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/10/img_5776.jpg?w=714)
![IMG_5781](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/10/img_5781.jpg?w=714)
10 years ago
Michuzi09 Dec
DMV All Stars - Najivunia
Disemba 9, 2014 ni siku ya uhuru wa Tanganyika. Wakati taifa la Tanzania linaadhiminisha miaka 53 ya uhuru, tunapenda kuwasilisha rasmi wimbo “Najivunia”. Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishia Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania.Wasanii wenyewe ni:
DMV All Stars:
Mr.Tz aka SanTizedPrince HerryDominicE-Breezy (Ibra. Max)AJ Ubao
DMV All Stars:
Mr.Tz aka SanTizedPrince HerryDominicE-Breezy (Ibra. Max)AJ Ubao
10 years ago
Vijimambo09 Dec
DMV ALL STARS- NAJIVUNIA
Disemba 9, 2014 ni siku ya uhuru wa Tanganyika. Wakati taifa la Tanzania linaadhiminisha miaka 53 ya uhuru, tunapenda kuwasilisha rasmi wimbo “Najivunia”. Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishia Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania.
Wasanii wenyewe ni:
DMV All Stars:
Mr.Tz aka SanTized
Prince Herry
Dominic
E-Breezy (Ibra. Max)
AJ Ubao
Wasanii wenyewe ni:
DMV All Stars:
Mr.Tz aka SanTized
Prince Herry
Dominic
E-Breezy (Ibra. Max)
AJ Ubao
9 years ago
Bongo508 Sep
Video: DMV All Stars — Najivunia
Video mpya ya Wimbo unaitwa “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishio Marekani wanajiita DMV All Stars kwa ushirikiano na DMK Global Promotions Video directed by Hefemi. Wasanii wenyewe walio shiriki ni Mr.Tz aka SanTz,Prince Herry,Domi,E-Breezy (Ibra. Max),AJ Ubao Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]
10 years ago
GPL09 Dec
DMV ALL STARS - NAJIVUNIA
Disemba 9, 2014 ni siku ya uhuru wa Tanganyika. Wakati taifa la Tanzania linaadhiminisha miaka 53 ya uhuru, tunapenda kuwasilisha rasmi wimbo “Najivuniaâ€. Wimbo “Najivunia†umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishia Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania.
Wasanii wenyewe ni: DMV All Stars: Mr.Tz aka SanTized
Prince...
9 years ago
Vijimambo21 Aug
VIDEO YA DMV ALL STARS - Najivunia
DMV ALL STARS - Najivunia ( mix for stage ) from hefemistudios on Vimeo.
9 years ago
VijimamboDMV ALL STARS WAPENDEZESHA SWAHILI FEST
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania